JK: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani Agosti 6, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi ya Afrika ni uzalishaji mdogo na matumizi ya chini mno ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Matumizi ya kondomu nchini Nigeria ni machache mno
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Vyura wapunguza uzalishaji umeme wa Tanesco
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Mabadiliko ya tabianchi kuathiri uzalishaji umeme
Na Greyson Mwase, Morogoro
MABADILIKO ya tabianchi yanachangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi, imeelezwa.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, alipofungua mafunzo yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais– Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro.
Mhandisi Mwihava...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme
KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81
9 years ago
MichuziTGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bXYdBtGXBxY/VGIJ1L5KhkI/AAAAAAAGwkk/TlUZMem-64Y/s72-c/002.KILIMO%2BKLABU.jpg)
Matumizi ya simu za mkononi kuongeza uzalishaji na mapato ya wakulima 30,000 nchini
Wakulima wadogo wa Tanzania watanufaika kiteknolojia kupitia huduma inayojulikana kama Kilimo Club.Kwa huduma hii wataweza kutumia huduma ya M-Pesa kutuma na kupokea fedha ikiwemo kufanya malipo wakati huo huo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbVQQ5deDwcC5DoBQhhcjNIn*cIb6lr5k4PXr1DthlVy4O*fvsclYFIoHzUw5zPaCKy3AkVqsxzg2LEV0qpGQ0SR/002.KILIMOKLABU.jpg?width=650)
MATUMIZI YA SIMU ZA MKONONI KUONGEZA UZALISHAJI NA MAPATO YA WAKULIMA 30,000 NCHINI