Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa

>Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza mgawo wa umeme kwa siku tisa katika baadhi ya maeneo kutokana na upungufu wa nishati hiyo katika Gridi ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

11 years ago

Tanzania Daima

LG yakabili mgawo wa umeme

KATIKA kukabiliana na tatizo la mgawo wa umeme nchini Tanzania, Kampuni ya vifaa vya umeme ya  LG imetengeneza friji ya ‘ever cool’ yenye uwezo wa kuhifadhi baridi kwa saa 10....

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja: Sitasahau mgawo wa umeme

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi.

 

9 years ago

GPL

SIRI YA MGAWO WA UMEME HII HAPA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba. Wakati watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wakilishutumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutokana na hali mbaya ya kukatika ovyo kwa umeme, imebainika kuwa chanzo cha tatizo hilo ni uzalishaji duni wa nishati hiyo katika mabwawa na vyanzo vingine vyote vinavyotegemewa na shirika hilo. Kadhalika, imeelezwa kuwa maamuzi mbalimbali ya kisiasa ndiyo yanayochangia kwa kiasi...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.

 

9 years ago

StarTV

Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.

Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida

Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha

Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...

 

10 years ago

Michuzi

Tatizo la mgawo wa umeme Arusha kumalizika Juni

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida, Martha Mlata (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Dkt. Miganda Manyahi (kulia), jijini Arusha kabla ya kuanza kwa ziara kwenye miradi ya umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini inafanya ziara katika miradi ya umeme iliyopo katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ili kujionea hatua ya utekelezwaji wake pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani