Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHONGAJI WA BARABARA WAKATA MABOMBA YA MAJI KIJITONYAMA

    Mkazi wa Kijitonyama akishuhudia tingatinga likiyakata mabomba yao.
    Tingatinga likiendelea na uchongaji wa barabara huku mkazi mmojawapo akiwa na vyombo vya kutekea maji.
    Mpira wa bomba mojawapo ukitiririsha maji.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rotary Club Dar es Salaam wazindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama

Wawakilishi kutoka Rotary Club Dar es Salaam wakizindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama kupitia mradi wa Rotary wa “Maji kwa Maisha”. Kutoka kushoto ni Rais wa klabu ya Rotary ya Mikocheni John Gitonga akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Rotary Tanzania Sharmila Bhatt, mratibu wa Elimu kutoka manispaa ya Kinondoni Alexandrina Kahandoma na kulia ni Jane Pesha kutoka klabu Rotary ya Mikocheni. Mradi huo uligharimu kiasi cha Sh 15 milioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabomba yakwamisha ufunguaji barabara Dar

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imesema kutokamilika kwa barabara ya Posta ya zamani hadi Kivukoni, Dar es Salaam kumekwamishwa na mabomba ya maji taka...

 

10 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA POLISI KIJITONYAMA WASUASUA

Mwonekano wa barabara ya kuelekea Polisi Mabatini, Kijitonyama. Magari yakipita katika barabara hiyo.…

 

11 years ago

GPL

YADI YA MABOMBA YA GESI KONGOWE DAR YAFUNIKWA NA MAJI

Kutokana na hali hiyo magari yamefunikwa na maji, hivyo kusababisha kazi kusimama na wigo uliozungushiwa mabati kubomoka na 'mateja' kujitwalia mabati hayo, hivyo kuwa neema kwao. Wakati huo huo usafiri wa mabasi kutoka Mbagala kwenda Kongowe umesimama kutokana na magari mengi kuzimika katikakati ya barabara hiyo, hivyo hivi sasa kuna msururu wa watu wanaotembea kwa miguu kwenda Kongowe au kutoka Kongowe kwenda Mbagala. ...

 

5 years ago

Michuzi

SHUWASA YATOA UFAFANUZI MABOMBA YA MAJI KUPASUKA SHINYANGA


Kushoto ni Mkurugenzi wa SHUWASA Flaviana Kifizi akiangalia bomba la maji lililopasuka katika eneo la Kata ya Masekelo jirani na Mto Kidalu leo Jumatatu Machi 16,2020.



Na Marco Maduhu - Shinyanga

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA),imetolea ufafanuzi kukithiri kwa upasukaji wa mabomba ya maji kuwa tatizo ni kubwa ni wananchi kupunguza matumizi ya maji hasa kipindi hiki cha Mvua hali inayosababisha mgandamizo mkubwa wa maji na hatimaye bomba kupasuka.

Hayo...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AJIONEA UHARIBIFU MKUBWA WA MABOMBA JANGWANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko leo ametembelea eneo la Jangwani, Darajani, barabara ya Morogoro kujionea uharibifu mkubwa wa mabomba ya maji.
Mabomba hayo ya inchi 16 yenye urefu wa mita 12 yamezolewa na maji kutokana na athari iliyoletwa na mvua kubwa ya mwishoni mwa wiki inayoendelea jijini Dar es Salaam.
“Ni athari kubwa ambayo imesababishwa na mvua hii na mpaka kukata mabomba ya maji, ni muda mrefu tangu mvua ya aina huu kutokea Dar es Salaam”, alisema ...

 

11 years ago

Michuzi

KIJITONYAMA SASA WALIA KWA KUKOSA UMEME NA MAJI

Uncle tumekua tukilia kilio cha muda mrefu huku kwa Ali maua Kijitonyama kuhusu tatizo la Maji, mara ya mwisho tumepata huduma hii wiki tatu zilizopita.
Ila kwa sasa matatizo yetu yameongezeka maana kwa muda wa siku tatu sasa tunalala usiku bila ya huduma ya umeme na mchana tunaupata kwa mgao.
Kwa kweli wakazi wa maeneo haya tunateseka sana na huduma hizi mbili na hakuna maelezo yeyote kutoka kwa wahusika. Tunaomba mawaziri husika watusaidie kama sio kupata huduma hizo basi angalau...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR,WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA

Wiki hii jijini Dar es salaam kumefanyika Kongamano kubwa la wadau wa maji kutoka kila kona ya nchi hii. kubwa lililofanyiwa kazi na wataalam hao wa maji ni kujulishwa teknolojia mpya ya mabomba iliyokuwa inatambulishwa na kampuni kubwa ya teknolojia ya mambomba ya Borouge kutoka Falme za Kiarabu. 
Borouge ilileta wataalam wanne ambao ni Mario Andrade, Farraj Tashman, Andrew Wedgner na Reda Ashkar. walionufaika na mafunzo hayo ni waliotoka Mamlaka za Maji mijini na vijiji, Wahandisi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani