Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rotary Club Dar es Salaam wazindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama

Wawakilishi kutoka Rotary Club Dar es Salaam wakizindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama kupitia mradi wa Rotary wa “Maji kwa Maisha”. Kutoka kushoto ni Rais wa klabu ya Rotary ya Mikocheni John Gitonga akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Rotary Tanzania Sharmila Bhatt, mratibu wa Elimu kutoka manispaa ya Kinondoni Alexandrina Kahandoma na kulia ni Jane Pesha kutoka klabu Rotary ya Mikocheni. Mradi huo uligharimu kiasi cha Sh 15 milioni.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UCHONGAJI WA BARABARA WAKATA MABOMBA YA MAJI KIJITONYAMA

    Mkazi wa Kijitonyama akishuhudia tingatinga likiyakata mabomba yao.
    Tingatinga likiendelea na uchongaji wa barabara huku mkazi mmojawapo akiwa na vyombo vya kutekea maji.
    Mpira wa bomba mojawapo ukitiririsha maji.…

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAFANYA MATEMBEZI YA HISANI NA KUKABIDHI KISIMA CHA MAJI SAFI SHULE YA MSINGI KUMBUKUMBU‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kulia mbele) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Benedict Missani (wa tatu kushoto mbele), wakiwaongoza wafanyakazi wa Airtel Tanzania na wanafunzi kwenye matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha pesa kiasi cha shilingi milioni 10, kwa ajili ya kuendelea kuboresha Shule ya Msingi Kumbukumbu , yaliyoanzia...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA

WIKI HII JIJINI DAR ES SALAAM KUMEFANYIKA KONGAMANO KUBWA LA WADAU WA MAJI KUTOKA KILA KONA YA NCHI HII.  KUBWA LILILOFANYIWA KAZI NA WATAALAM HAO WA MAJI NI KUJULISHWA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA ILIYOKUWA INATAMBULISHWA NA KAMPUNI KUBWA YA TEKNOLOJIA YA MAMBOMBA YA BOROUGE KUTOKA FALME ZA KIARABU.  BOROUGE ILILETA WATAALAM WANNE AMBAO NI MARIO ANDRADE, FARRAJ TASHMAN, ANDREW WEDGNER AND REDA ASHKAR. WALIONUFAIKA NA MAFUNZO HAYO NI WALIOTOKA MAMLAKA ZA MAJI MIJINI NA VIJIJI, WAHANDISI,...

 

10 years ago

Michuzi

Jimbo la Kitope kuhakikisha huduma za maji safi na salama inapatikana katika kijiji cha Muembe Majogoo

Na Othman Khamis AmeUongozi wa Jimbo la Kitope uko katika jitihada za kufanya maarifa ya kuhakikisha huduma za maji safi na salama inapatikana katika kijiji cha Muembe Majogoo ili kuwaondoshea  Wananchi wa Kijiji hicho usumbufu wa ukosefu wa huduma hiyo muhimu.  Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo wanakati akizunghumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Muembe Majogoo mara baada ya kukagua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwimba kuanza kunywa maji safi

MBUNGE wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), amewahakikishia wananchi wa Ngudu na Mhalo kwamba ifikapo Machi wataanza kupata majisafi kutoka Ziwa Victoria. Alisema kuanzia Juni hadi Oktoba, wakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi akabidhi mabomba 250 ya kusambazia huduma za maji safi Wilaya ya Kaskazini “ B “

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema licha ya juhudi zinazochukuliwa na viongozi katika kuchangia nguvu za kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayowakabili wananchi katika maeneo yao lakini bado jukumu hilo litaendelea kubakia mikononi mwa wananchi wenyewe.
Alisema Viongozi na hata Serikali Kuu huhamasika na kushawishika zaidi kusaidia hata uwezeshaji na hata vifaa kwenye miradi ya Jamii baada ya kuona nguvu za Wananchi zimeanza au kuiendelezwa katika kujikomboa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani