Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KERO YA MAJI INAVYOWATESA WANANCHI SENGEREMA

Sengerema ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Mwanza. Upande wa Kaskazini na Mashariki imezungukwa na Ziwa Victoria, upande wa Kusini kuna Mkoa wa Geita na Kusini Mashariki kuna Wilaya ya Misungwi.
Ndani ya Wilaya ya Sengerema, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, Buchosa na Sengerema. Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye Jimbo la Sengerema linaloongozwa na Mheshimiwa William Ngeleja.  MATATIZO YA...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Tutaondoa kero ya maji Sengerema

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishukuru Wizara ya Maji kwa kutenga zaidi ya sh. bilioni 29 kutekeleza miradi ya maji jimboni kwake. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ngeleja...

 

10 years ago

GPL

NAMTUMBO: WANANCHI WALIA NA KERO YA UMEME, MADARASA, MAJI NA BARABARA

Mheshimiwa Vita Kawawa. Namtumbo ni moja kati ya wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma, Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini, Namtumbo inapakana na Mkoa wa Morogoro, Mashariki kuna Wilaya ya Tunduru, Magharibi kuna Wilaya za Songea Mjini na Songea Vijijini na Kusini Namtumbo inapakana na Nchi ya Msumbiji. Pia, Namtumbo ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Vita Kawawa, mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na...

 

9 years ago

StarTV

KKKT Mpata Mbeya wabuni mbinu kusaidia wananchi kutatua kero ya maji

Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Mpata katika halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya umebuni mbinu ya kuwasaidia wakazi wa kijiji cha Mpata kutatua kero ya maji waliyodumu nayo tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho miaka mingi iliyopita.

Kanisa hilo limebuni mbinu ya kutega mabomba ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji vilivyo jirani na kijiji hicho na kuanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wenye thamani zaidi ya shilingi milioni hamsini.

Lengo la mradi huo ni...

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla wilayani sengerema, Mwanza

Naibu waziri wa maji Amos G Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Sengerema kwa kukagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na benki ya maendeleo ya Afrika na serikali ya Tanzania. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 20 na utanufaisha watu wapatao 108,000 hadi kufikia mwaka 2025 Naibu Waziri wa maji ametembelea chanzo cha maji ziwa victoria kijiji cha Nyamazugo, ujenzi wa matanki maeneo ya Mwabaluhi na Igogo na kuwataka wakandarasi kampuni ya Kichina Ya CCECC ltd na mhandisi...

 

9 years ago

Habarileo

Mukangara kuondoa kero ya maji

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dihozile walia kero ya maji

WAKAZI wa Kijiji cha Dihozile, Kata ya Msoga, wilayani Bagamoyo, wanatembea umbali wa zaidi ya saa mbili kupata huduma ya maji. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge  kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI KUPITIA BRN IMEFIKISHA MAJI KWA WANANCHI M.4.2

IMG-20150203-WA0039Waziri wa maji profesa jumanne maghembe akielezea utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa BRN chini.....................................................
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN.
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo Februari 3, 2015 mjini Dodoma alipokuwa...

 

5 years ago

StarTV

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji cha Mashine ya Maji katika kata ya Bunda stoo, mjini Bunda mkoani Mara, jana wamepiga yowe na kuanadamana kwa kukusanyika pamoja katika kituo cha Mashine ya kusukuma maji, iliyoko katika eneo la Migungani, mjini humo, kutokana na kituo hicho kufungwa na kusababisha kukosa huduma ya maji, kwa …

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kero ya maji Moshi mwisho Desemba

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Moshi Mjini (MUWSA), inatarajiwa kukamilisha utekelezaji wa miradi mitatu ya maji ambayo itaondoa kero ya muda mrefu kwa wananchi ifikapo Desemba mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani