KKKT Mpata Mbeya wabuni mbinu kusaidia wananchi kutatua kero ya maji
Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Mpata katika halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya umebuni mbinu ya kuwasaidia wakazi wa kijiji cha Mpata kutatua kero ya maji waliyodumu nayo tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho miaka mingi iliyopita.
Kanisa hilo limebuni mbinu ya kutega mabomba ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji vilivyo jirani na kijiji hicho na kuanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wenye thamani zaidi ya shilingi milioni hamsini.
Lengo la mradi huo ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...
9 years ago
StarTV01 Dec
Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi
Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.
Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.
Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mbunge mteule wa Busanda ahidi kutatua kero za wananchi Geita
Msimamizi wa Uchaguzi, Ali Kidwaka akitangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Busanda na Geita.
Mbunge mteule wa Busanda Bi Lolesia Bukwimba akiongea na Wanahabari mara baaada ya kutangazwa mshindi.
Diwani Mteule wa kata ya Lwamgasa jimbo la Busanda, Joseph Kaparatus akishangilia ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
Na Alphonce Kabilondo, Geita
MBUNGE mteule wa jimbo la Busanda wilayani Geita (CCM), Bi. Lolesia Jeremia Bukwimba amesema kuwa atahakikisha ana shirikiana na wananchi wake...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9ZSjwDoMmT4/Xp_-UGeBRYI/AAAAAAALnx4/0-TX4WVwOeA4fKhPScJY5q25Ax1-tEtvgCLcBGAsYHQ/s72-c/728A7427AA-768x512.jpg)
THBUB YAZITAKA AZAKI WASHIRIKA KUJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-9ZSjwDoMmT4/Xp_-UGeBRYI/AAAAAAALnx4/0-TX4WVwOeA4fKhPScJY5q25Ax1-tEtvgCLcBGAsYHQ/s640/728A7427AA-768x512.jpg)
Mkurugenzi wa HUPEMEF, Mchungaji Saimon Chemu (Kulia) akitoa maelezo mafupi kwa Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu (Kushoto) alipotembelea ofisi za Taasisi hiyo zilizopo Wilayani Magu, jijini Mwanza Aprili 21, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/728A7471AA-1024x682.jpg)
Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu (Katikati- waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya HUPEMEF. Kulia waliokaa ni Afisa Mfawidhi wa Ofisi za THBUB Kanda ya Ziwa, Albert Kakengi, na wapili kulia ni Katibu wa Mtandao AZAKI Wilayani...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Mbunge wa Morogoro mjini atumia zaidi ya milioni 20 kutatua kero ya maji kata ya Mlimani
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 zilizotolewa na Mbunge huyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akipanda Safu ya Milima Uluguru...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA MOROGOR MJINI ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUTATUA KERO YA MAJI KATA YA MLIMANI
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tkD3ufp__sY/XlrFW50-HCI/AAAAAAALgKo/BwhA8X15h44s7it2b5_KwRle9G_KfJnlwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200228_154116.jpg)
Nyasa kuanza ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Kingerikiti kutatua kero ya wananchi
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama, wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Kingerikiti kwa lengo la kutambulisha mradi na kuwashirikisha Wananchi ili waweze kushirikiana na Serikali kwa...
9 years ago
MichuziUWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WANAO WAONGOZA
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,” Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wenyeviti wa vijiji, watendaji...