Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani jana Aliwataka wajenzi hao kujenga maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.

02

 Ridhiwani Kikwete...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Mwananchi

Aahidi kutatua kero huduma za jamii

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa ameahidi kutatua kero ya zahanati katika Kijiji cha Mfukulembe endapo atapata nafasi ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo kama mbunge wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Tendega aahidi kutatua kero za kilimo Kalenga

Mgombea ubunge kupitia Chadema, Grace Tendega amesema endapo wananchi watampa ridhaa na kumchagua kuwa mbunge wa Jimbo la Kalenga, atahakikisha anaishinikiza Serikali kuunda chombo kitakachosimamia suala la pembejeo za kilimo.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atembelea alikozaliwa, aahidi kutatua kero ya ardhi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amefika katika kijiji alichozaliwa na kusoma elimu ya msingi cha Mbughuni wilayani Arumeru mkoani Arusha na kuahidi kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

PROF MBARAWA AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA USAMBAZAJI MAJI IKWIRIRI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema tatizo la upatikanaji wa maji katika halmashauri ya utete na tarafa ya Ikwiriri  ni kutokana na kutokuwa na mtandao mpana wa mabomba ya usambazaji maji kwa wananchi.
Amesema hayo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji katika tarafa ya Ikwiriri na kupata taarifa za mradi kutoka kwa wahandisi wanaoisimamia.
Mbarawa amesema, kuna changamoto ya upatikanaji wa maji halmashauri ya Utete na zaidi ni kutokana na...

 

9 years ago

StarTV

KKKT Mpata Mbeya wabuni mbinu kusaidia wananchi kutatua kero ya maji

Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Mpata katika halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya umebuni mbinu ya kuwasaidia wakazi wa kijiji cha Mpata kutatua kero ya maji waliyodumu nayo tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho miaka mingi iliyopita.

Kanisa hilo limebuni mbinu ya kutega mabomba ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji vilivyo jirani na kijiji hicho na kuanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wenye thamani zaidi ya shilingi milioni hamsini.

Lengo la mradi huo ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Morogoro mjini atumia zaidi ya milioni 20 kutatua kero ya maji kata ya Mlimani

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji  kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.

IMG_0011

IMG_0014 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 zilizotolewa na Mbunge huyo.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akipanda Safu ya Milima Uluguru...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MOROGOR MJINI ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUTATUA KERO YA MAJI KATA YA MLIMANI


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji  kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 Zilizotolewa na Mbunge Huyo.bofya hapa kwa picha zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani