Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani jana Aliwataka wajenzi hao kujenga maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.

02

 Ridhiwani Kikwete...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AHANI MSIBA WA WATOTO WAWILI WALIOPOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE KISIMA CHA MAJI,KIWANGWA

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Bw. Geofrey Nestory pamoja na Mkewe,Renata Pascal ambao ni Wazazi wa Watoto wawili,Jesca Geofrey (5) na Redempta Geofrey (2) waliopoteza maisha hivi karibuni kwa kutumbukia kwenye kisima cha maji,wakati alipofika Nyumbani kwa wazazi hao ambao ni Wakazi wa Kijiji cha Msinune,Kata ya Kiwangwa leo Machi 22,2014 kuhani msiba wa Watoto hao.Wazazi hao walimueleza Ndg....

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani aahidi kuongeza shule, mabweni Chalinze

>Mgombea udiwani wa CCM wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete amewa\ahidi wananchi wa Kata ya Ubena kuwatatulia tatizo la watoto wao kutembea umbali mrefu kwa kuongeza idadi ya shule na  mabweni mapya kwenye kata hiyo

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

5 years ago

Michuzi

PROF MBARAWA AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA USAMBAZAJI MAJI IKWIRIRI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema tatizo la upatikanaji wa maji katika halmashauri ya utete na tarafa ya Ikwiriri  ni kutokana na kutokuwa na mtandao mpana wa mabomba ya usambazaji maji kwa wananchi.
Amesema hayo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji katika tarafa ya Ikwiriri na kupata taarifa za mradi kutoka kwa wahandisi wanaoisimamia.
Mbarawa amesema, kuna changamoto ya upatikanaji wa maji halmashauri ya Utete na zaidi ni kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

Michuzi

RIDHIWANI AIKABIDHI HALMASHAURI YA CHALINZE MABATI, MATANKI YA MAJI YENYE GHARAMA YA MIL.13.9

NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amekabidhi mabati 1,000 kwa halmashauri ya Chalinze ,pamoja na tanki za maji na mabeseni Tisa vyote vikiwa na gharama ya milioni 13.9.
Kati ya mabati hayo 600  yataelekezwa katika miradi ya halmashauri ya sekta ya elimu na afya na 400 yatapangiwa kazi na matakwa ya mfuko wa jimbo. 
Akizungumzia kuhusu msaada huo ,Ridhiwani alieleza kuwa , shule ya sekondari Changarikwa inapatiwa mabati 90,Msata 90,Chamakweza mabati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani