Ridhiwani aahidi kuongeza shule, mabweni Chalinze
>Mgombea udiwani wa CCM wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete amewa\ahidi wananchi wa Kata ya Ubena kuwatatulia tatizo la watoto wao kutembea umbali mrefu kwa kuongeza idadi ya shule na mabweni mapya kwenye kata hiyo
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Ridhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani jana Aliwataka wajenzi hao kujenga maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.
Ridhiwani Kikwete...
11 years ago
GPL
RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA
11 years ago
Habarileo17 Sep
Mabweni 3 shule ya wasichana yateketea
MABWENI matatu ya Shule ya Sekondari Nyansincha Tarafa ya Ingwe Wilayani Tarime mkoani Mara, yameteketea kwa moto.
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi05 Aug
MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE

Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini...
11 years ago
GPL
MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE
10 years ago
GPL
UJENZI WA MABWENI SHULE ZA PEMBEZONI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI MIJINI