Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABWENI YA SHULE YATEKETEA KWA MOTO MONDULI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mabweni 3 shule ya wasichana yateketea

MABWENI matatu ya Shule ya Sekondari Nyansincha Tarafa ya Ingwe Wilayani Tarime mkoani Mara, yameteketea kwa moto.

 

11 years ago

Michuzi

misaada yamiminika shule ya Irkisongo wilayani monduli iliyounguliwa na mabweni yake

 Mbunge  wa Viti maalum(CCM) mkoa wa Arusha Namelok Sokoine akiangalia bweni la shule hiyo ya Irkisongo wilayani Monduli lililoteketezwa na moto 

 Mapacha wanaoishi Wakaazi wa New York Marekani Joy na Jane wakimkabidhi mkuu wa shule hiyo mama Nyange sehemu ya msaada wao wa kilo zaidi ya kumi za misumari

  Mjumbe wa kamati ya siasa(CCM) wilaya Monduli, Paulina Ngoyai(Mama Kalaine) akikabidhi msaada wake wa mifuko mitano ya sementi kwa shule hiyo


 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Arusha(CCM) Namelok...

 

11 years ago

Michuzi

Bweni la shule ya Sekondari Erikisongo Wilayani Monduli lateketea kwa moto leo

Kiasi cha wanafunzi 100 wa shule ya sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na moto leo (Jumatano) asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ilitokea wakati wanafunzi wote wako darasani.
Hakuna mtu yoyote aliyedhurika lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea. Kikosi Cha zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati tayari mabweni hayo yameshateketea.
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yatoa mchango wa Mil. 3 kusaidia shule iliyopata janga la moto,wilayani Monduli

Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Irkisongo wilayani Monduli Happness Nyange (kushoto) akipokea mchango wa shilingi millioni tatu kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa masuala ya kibenki wa CRDB,Dkt. Bennett Bankobeza ikiwa ni kwaajili ya kusaidia shule hiyo hiyo ambayo mabweni yake yaliteketea kwa moto hivi karibuni. Wanaoshuhudia pembeni ni Meneja wa CDRB tawi la TFA Arusha,Bi. Amulikiwa Massawe (wa tatu kulia) na madiwani wa halmashauri ya Monduli.Mwisho kulia ni mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Bongo5

Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto

Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto jijini Dar

 “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

11 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo, kutokana na kinachosadikiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Bado haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhurika kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa jana jijini humo.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani