UJENZI WA MABWENI SHULE ZA PEMBEZONI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI MIJINI
![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uSctyKRT4TXDeLpvKNWGp0Gh42MGxtpSbUFII5XqwV0EPIDeg3gS1QXgOWrgviNS6vOE1pn34UXQa14bZdQAqXoeE/ujenzi.jpg?width=650)
Na Aron Msigwa – MAELEZO 21/12/2014, Dar es Salaam Jamii imetakiwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za ujenzi wa mabweni katika shule za Sekondari zilizoko pembezoni mwa miji hasa maeneo ya vijijini ili kukabiliana na tatizo la msongamano wa wanafunzi mijini linalosababishwa na baadhi ya wanafunzi kushindwa kujaza nafasi wanazopangiwa  maeneo ya pembezoni mwa miji kutokana na umbali. Kauli...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO KATIKA JIJI LA DAR
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_C7AD3248k8/VCxLoXhY1mI/AAAAAAAGnJE/-Xs_GJdXdKE/s72-c/0L7C2170.jpg)
JK ataja hatua saba za kupunguza msongamano wa magari Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-_C7AD3248k8/VCxLoXhY1mI/AAAAAAAGnJE/-Xs_GJdXdKE/s1600/0L7C2170.jpg)
10 years ago
Habarileo17 Sep
Mabweni 3 shule ya wasichana yateketea
MABWENI matatu ya Shule ya Sekondari Nyansincha Tarafa ya Ingwe Wilayani Tarime mkoani Mara, yameteketea kwa moto.
10 years ago
Habarileo04 May
Mama Salma ahimiza ujenzi wa mabweni
MAMA Salma Kikwete amezitaka mamlaka za elimu nchini, kuhakikisha wanajenga mabweni kwenye shule za sekondari na kutoa kipaumbele kwa wanafunzi wa kike ili kuhakikisha wanamaliza masomo yao.
11 years ago
Habarileo28 Mar
JK ataka busara ujenzi vituo vya afya mijini
Anna Makange,Tanga RAIS Jakaya Kikwete ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Tanga kuweka mpango bora wa ujenzi wa vituo vya afya kwa kuziunganisha kata huku wakizingatia idadi ya watu waliopo kwenye eneo husika.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rzSLqinIQM4/VMd7Dgqgh2I/AAAAAAACyqc/Amzec61bGy4/s72-c/John-Magufuli.jpg)
Trilioni Moja kutumika kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rzSLqinIQM4/VMd7Dgqgh2I/AAAAAAACyqc/Amzec61bGy4/s1600/John-Magufuli.jpg)
SERIKALI imedhamiria kupunguza msongamano wa magari ndani ya jiji la Dar es Salaam kwakujenga barabara sita zitakazo ambazo ujenzi wake utasimamiwa na TANROADS. Ujenzi huo unatarajiwa kugharimu sh. trilioni moja ambapo lengo barabara hizo ni kupunguza adha ya msongamano wa magari katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es saalam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ci0mMjUdPVs/VCFihGL4Y9I/AAAAAAAGlVA/JbSSebrh-5c/s72-c/unnamed.jpg)
Miradi iliyotekelezwa kwa ajili ya kupunguza msongamano katika halmashauri ya ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ci0mMjUdPVs/VCFihGL4Y9I/AAAAAAAGlVA/JbSSebrh-5c/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-XZYx-4jzP6o/VCFihWGYnjI/AAAAAAAGlVE/cmq86qOLVUU/s1600/unnamedn.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JIYs43_D7QM/UvKC1HRnD8I/AAAAAAAFLDA/YdukefPihjk/s72-c/Picha+3.jpg)
BARABARA ZAIDI ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KUENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-JIYs43_D7QM/UvKC1HRnD8I/AAAAAAAFLDA/YdukefPihjk/s1600/Picha+3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6IUF4cG87--ykkCXVveRo6GJ2RgCjT99evgZiRKLbJrsKDHlX1BarRFBleIzteY3mQh-Kt-D2lupnIA5bgJNbK/IMG20140723WA0002.jpg?width=650)