Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ataja hatua saba za kupunguza msongamano wa magari Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar Es Salaam.Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10 iliyopita, Jiji la Dar Es Salaam halikuwa na msongamano. “Sasa kila mtu ana gari, naambiwa nyumba nyingine zina...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BARABARA ZAIDI ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KUENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (aliyenyoosha mikono) akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa barabara za kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam wakati alipokutana na Kamati ya Bunge ya Miundombinu. Kulia kwa Waziri Magufuli ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Eng. Gerson Lwenge na anayefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga. Kushoto kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Peter Serukamba na...

 

10 years ago

Michuzi

Trilioni Moja kutumika kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

Na Anitha Jonas - MAELEZO.
SERIKALI imedhamiria kupunguza msongamano wa magari  ndani ya jiji la Dar es Salaam kwakujenga barabara sita zitakazo ambazo ujenzi wake utasimamiwa na TANROADS. Ujenzi huo unatarajiwa kugharimu sh. trilioni moja ambapo lengo barabara hizo ni  kupunguza adha ya msongamano wa magari  katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es saalam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chanzo cha msongamano wa magari Dar chaelezwa

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema Jiji la Dar es Salaam lilipangwa mwaka 1912 na haliendani na ukuaji wa kiuchumi na ongezeko la watu.

 

11 years ago

Michuzi

Utaratibu mpya kudhibiti msongamano wa magari Dar njiani kutangazwa

Katika kile kinachoonekana kama nia thabiti ya kuzuia tatizo sugu la msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam, utaratibu mpya wa kudhibiti changamoto hiyo uko mbioni kutangazwa. Mara utakapotangazwa, kila anayehusika hasa madereva katika jiji hilo kubwa la biashara watatakiwa kuuheshimu na kuufuata. Akitangaza utaratibu huo mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, Afisa Mkuu Mtendaji wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Bi. Asteria Mlambo hatua hiyo inalenga kuondoa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO KATIKA JIJI LA DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba- Tangi Bovu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero la msongamano wa magari TZ

Wiki hii Haba na Haba inaangazia tatizo la msongamano wa magari TZ

 

11 years ago

Mwananchi

Mabasi ya majini kumaliza msongamano wa magari?

>Serikali, mashirika binafsi na wadau wa usafiri ndani na nje ya nchi wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

DC MARATHON IMESABABISHA MSONGAMANO MKUBWA WA MAGARI


Wikiend hii kutakuwa na msongamano mkubwa wa magari kwa maeneo ya dc NW leo jumamosi kufuatia mbio za marathon, kama unaratiba ya kuingia mjini kwa kupitia NW barabara maeneo ya U street yote yamefungwa huwezi kuvuka kwanda mjini, na kesho, na kesho itakuwa kama leo ni St patrick' day parade, jipange mapema

 

10 years ago

GPL

UJENZI WA MABWENI SHULE ZA PEMBEZONI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI MIJINI

Na Aron Msigwa – MAELEZO
21/12/2014, Dar es Salaam
Jamii imetakiwa kuendelea  kuunga mkono juhudi za Serikali za ujenzi wa mabweni katika shule  za Sekondari  zilizoko pembezoni mwa miji hasa maeneo ya vijijini ili kukabiliana na tatizo la msongamano wa wanafunzi mijini linalosababishwa na baadhi ya wanafunzi kushindwa kujaza nafasi wanazopangiwa   maeneo ya pembezoni mwa miji kutokana na umbali. Kauli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani