Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aahidi kutatua kero huduma za jamii

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa ameahidi kutatua kero ya zahanati katika Kijiji cha Mfukulembe endapo atapata nafasi ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo kama mbunge wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tendega aahidi kutatua kero za kilimo Kalenga

Mgombea ubunge kupitia Chadema, Grace Tendega amesema endapo wananchi watampa ridhaa na kumchagua kuwa mbunge wa Jimbo la Kalenga, atahakikisha anaishinikiza Serikali kuunda chombo kitakachosimamia suala la pembejeo za kilimo.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atembelea alikozaliwa, aahidi kutatua kero ya ardhi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amefika katika kijiji alichozaliwa na kusoma elimu ya msingi cha Mbughuni wilayani Arumeru mkoani Arusha na kuahidi kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EABC kutatua kero za wawekezaji

MWENYEKITI wa Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki la Biashara (EABC), Felix Mosha, amesema baraza hilo litahakikisha linazipatia ufumbuzi changamoto zinazowakabili wawekezaji wa sekta binafsi na wafanyabiashara. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi za mazao zatakiwa kutatua kero za wakulima

Bodi za mazao nchini zimetakiwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wakulima ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha kwa wingi na kufikia mahitaji ya soko la ndani na nje.

 

9 years ago

StarTV

Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi

Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.

Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.

Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif awataka wabunge kutatua kero

Maalim Seif Sharif HamadWABUNGE na Wawakilishi wametakiwa kuzipatia ufumbuzi kero na matatizo yanayowakabili wananchi katika majimbo ya uchaguzi kwa lengo la kuleta maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu: Hakuna muujiza kutatua kero Serikali mbili

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao amesema hatarajii kuona miujiza katika kushughulikia kero za Muungano wa serikali mbili kwa kuwa suala hilo limeshindikana kwa miaka 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani