MBUNGE WA MOROGOR MJINI ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUTATUA KERO YA MAJI KATA YA MLIMANI
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 Zilizotolewa na Mbunge Huyo.bofya hapa kwa picha zaidi
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Mbunge wa Morogoro mjini atumia zaidi ya milioni 20 kutatua kero ya maji kata ya Mlimani
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 zilizotolewa na Mbunge huyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akipanda Safu ya Milima Uluguru...
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Mbunge wa Morogoro mjini Mh Abood atoa milion 11 kutatua kero ya maji Mkundi Morogoro
![](http://1.bp.blogspot.com/-V5RXeu792UM/VKZrY4uEzZI/AAAAAAAAGFg/6ZqRTH0i5Gw/s1600/20141231_144923.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WsCdAwRNjUc/VKZqpK-gUZI/AAAAAAAAGE4/nanIevZSJwQ/s72-c/20141231_144819.jpg)
MBUNGE WA MOROGORO MJINI,ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-WsCdAwRNjUc/VKZqpK-gUZI/AAAAAAAAGE4/nanIevZSJwQ/s1600/20141231_144819.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V5RXeu792UM/VKZrY4uEzZI/AAAAAAAAGFg/6ZqRTH0i5Gw/s1600/20141231_144923.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tkD3ufp__sY/XlrFW50-HCI/AAAAAAALgKo/BwhA8X15h44s7it2b5_KwRle9G_KfJnlwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200228_154116.jpg)
Nyasa kuanza ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Kingerikiti kutatua kero ya wananchi
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama, wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Kingerikiti kwa lengo la kutambulisha mradi na kuwashirikisha Wananchi ili waweze kushirikiana na Serikali kwa...
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mbunge mteule wa Busanda ahidi kutatua kero za wananchi Geita
Msimamizi wa Uchaguzi, Ali Kidwaka akitangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Busanda na Geita.
Mbunge mteule wa Busanda Bi Lolesia Bukwimba akiongea na Wanahabari mara baaada ya kutangazwa mshindi.
Diwani Mteule wa kata ya Lwamgasa jimbo la Busanda, Joseph Kaparatus akishangilia ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
Na Alphonce Kabilondo, Geita
MBUNGE mteule wa jimbo la Busanda wilayani Geita (CCM), Bi. Lolesia Jeremia Bukwimba amesema kuwa atahakikisha ana shirikiana na wananchi wake...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
StarTV28 Dec
KKKT Mpata Mbeya wabuni mbinu kusaidia wananchi kutatua kero ya maji
Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Mpata katika halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya umebuni mbinu ya kuwasaidia wakazi wa kijiji cha Mpata kutatua kero ya maji waliyodumu nayo tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho miaka mingi iliyopita.
Kanisa hilo limebuni mbinu ya kutega mabomba ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji vilivyo jirani na kijiji hicho na kuanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wenye thamani zaidi ya shilingi milioni hamsini.
Lengo la mradi huo ni...
9 years ago
Michuzi21 Dec
SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA MAJI WILAYANI HUMO
Na Ezekiel Kamanga ,Mbeya,Jamiimojablog SERIKALI wilayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali katika...