Kero ya maji yagubika kampeni za Samia
Takribani mikoa sita ambayo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amefanya kampeni zake, amepokea matatizo kadhaa, lakini tatizo kubwa linalokabili mikoa hiyo ni maji.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Sep
Samia: Ichagueni CCM itatue kero ya maji
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kuwa endapo wataichagua CCM, itahakikisha inatatua changamoto zinazowakabili ikiwemo maji na umeme.
10 years ago
Habarileo29 Jan
Samia asema kero za Muungano zimetatuliwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano, Samia Suluhu Hassan amesema Katiba Inayopendekezwa sasa imezipatia ufumbuzi wa moja kwa moja kero za Muungano zilizokuwepo awali, ambazo ziliibua malalamiko mengi kutoka kwa Zanzibar.
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Samia: Kero tatu za muungano hazijatekelezwa
Na Jonas Mushi na Tunu Nassor, Dar es Salaam.
LICHA ya kutimiza miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imeelezwa mambo matatu bado hayajatekelezwa ndani ya muungano.
Mambo hayo, ni pamoja na masuala ya kodi, mahusiano ya kifedha na usajili wa vyombo vya moto.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano), Samia Suluhu Hassan alisema pamoja na mafanikio ya Muungano bado mambo hayo hayajapata ufumbuzi wa kudumu kwa...
9 years ago
Habarileo20 Sep
Mukangara kuondoa kero ya maji
MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Dihozile walia kero ya maji
WAKAZI wa Kijiji cha Dihozile, Kata ya Msoga, wilayani Bagamoyo, wanatembea umbali wa zaidi ya saa mbili kupata huduma ya maji. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge kwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji
MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...
9 years ago
Habarileo11 Sep
‘Nipeni Ubungo nitatue kero ya maji’
MGOMBEA wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha UPDP, Naomi Mabrouk amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao ili aweze kutatua kero mbalimbali ikiwemo ya muda mrefu ya maji.
9 years ago
Habarileo20 Sep
ACT-Wazalendo kukomesha kero ya maji
CHAMA cha ACT- Wazalendo kimejipanga kutatua kero ya maji kwa wananchi vijijini ili kuwakomboa kinamama wanaopata shida ya kutafuta maji kwa kuanzisha Mamlaka ya Maji Vijijini.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Ngeleja: Tutaondoa kero ya maji Sengerema
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishukuru Wizara ya Maji kwa kutenga zaidi ya sh. bilioni 29 kutekeleza miradi ya maji jimboni kwake. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ngeleja...