Samia: Ichagueni CCM itatue kero ya maji
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kuwa endapo wataichagua CCM, itahakikisha inatatua changamoto zinazowakabili ikiwemo maji na umeme.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Sep
Samia: Wanawake ichagueni CCM
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kuipigia kampeni na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kirudi madarakani. Samia alitoa mwito huo mjini Dodoma jana na kueleza kuwa wanawake ni nguzo muhimu kwa chama hicho, hivyo wanalo jukumu kubwa kuhakikisha CCM inashinda.
9 years ago
Habarileo07 Oct
Samia: Ichagueni CCM Tabora igawanywe kwa maendeleo
MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema, iwapo wananchi wa Tabora watakiwezesha chama hicho kuongoza nchi tena, mkoa huo utaweza kugawanywa ili maendeleo yapatikane kirahisi.
9 years ago
Habarileo28 Sep
Kero ya maji yagubika kampeni za Samia
Takribani mikoa sita ambayo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amefanya kampeni zake, amepokea matatizo kadhaa, lakini tatizo kubwa linalokabili mikoa hiyo ni maji.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
CWT: Serikali itatue kero za walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Habarileo11 Sep
‘Ichagueni CCM ilete viwanda vya chumvi’
WAKAZI wa Mji wa Lindi wameshauriwa kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishinde, kilete viwanda vya kusindika chumvi na kuiongezea thamani.
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Samia: Kero tatu za muungano hazijatekelezwa
Na Jonas Mushi na Tunu Nassor, Dar es Salaam.
LICHA ya kutimiza miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imeelezwa mambo matatu bado hayajatekelezwa ndani ya muungano.
Mambo hayo, ni pamoja na masuala ya kodi, mahusiano ya kifedha na usajili wa vyombo vya moto.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano), Samia Suluhu Hassan alisema pamoja na mafanikio ya Muungano bado mambo hayo hayajapata ufumbuzi wa kudumu kwa...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Samia asema kero za Muungano zimetatuliwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano, Samia Suluhu Hassan amesema Katiba Inayopendekezwa sasa imezipatia ufumbuzi wa moja kwa moja kero za Muungano zilizokuwepo awali, ambazo ziliibua malalamiko mengi kutoka kwa Zanzibar.
9 years ago
Habarileo20 Sep
Mukangara kuondoa kero ya maji
MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.