Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia: Ichagueni CCM Tabora igawanywe kwa maendeleo

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema, iwapo wananchi wa Tabora watakiwezesha chama hicho kuongoza nchi tena, mkoa huo utaweza kugawanywa ili maendeleo yapatikane kirahisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Samia: Wanawake ichagueni CCM

MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kuipigia kampeni na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kirudi madarakani. Samia alitoa mwito huo mjini Dodoma jana na kueleza kuwa wanawake ni nguzo muhimu kwa chama hicho, hivyo wanalo jukumu kubwa kuhakikisha CCM inashinda.

 

10 years ago

Habarileo

Samia: Ichagueni CCM itatue kero ya maji

MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kuwa endapo wataichagua CCM, itahakikisha inatatua changamoto zinazowakabili ikiwemo maji na umeme.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ichagueni CCM ilete viwanda vya chumvi’

WAKAZI wa Mji wa Lindi wameshauriwa kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishinde, kilete viwanda vya kusindika chumvi na kuiongezea thamani.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOANI TABORA LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihtubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Usoke, katika jimbo la Urambo Magharibi mkoani TaboraAliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo aliyeshinda, George Kagunda, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tabora

 

11 years ago

Mwananchi

Tabora ‘wamkaanga’ Kapuya, DC kwa Katibu Mkuu CCM

Kundi la wanachama wa CCM wilayani hapa limemshtaki Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwa amekuwa kinara wa kuweka makundi yanayopigana vita wilayani hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AFUNIKA TABORA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Uyui katika jimbo la Tabora mjini.Maelfu ya wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui, jimbo la Tabora mjini mkoani TaboraAliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Nkenge lakini akashindwa...

 

10 years ago

Habarileo

Samia: Wanawake tushirikiane, tusaidiane kujiletea maendeleo

WANAWAKE nchini wametakiwa kuwa na tabia ya kushirikiana na kusaidiana hususani katika mambo ya kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge mteule katika jimbo la Manonga mkoani Tabora, Seif Khamis Gulamali (CCM) awashukuru wananchi kwa kumchagua

   Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) akiwashukuru wananchi wa Kata ya Ndebezi katika jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na Dkt. John Magufuli aliyekuwa anawania kiti cha urais.    Wananchi wa Kata ya Ntobo wakishangilia kwa furaha mara baada ya  Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) alipowasili eneo hilo kwa kutoa shukrani kwa wananchi hao kwa kumchagua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani