Samia: Wanawake tushirikiane, tusaidiane kujiletea maendeleo
WANAWAKE nchini wametakiwa kuwa na tabia ya kushirikiana na kusaidiana hususani katika mambo ya kujiletea maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.
Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EpX3FsPLOIg/VJ_hFA02RrI/AAAAAAAG6G8/i9C8MLmHXpY/s72-c/salma-pps.jpg)
WAKAZI WA MKOA WA LINDI WATAKIWA KUSHIKAMANA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA MAENDELEO - MAMA SALMA KIKWETE
![](http://2.bp.blogspot.com/-EpX3FsPLOIg/VJ_hFA02RrI/AAAAAAAG6G8/i9C8MLmHXpY/s1600/salma-pps.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa jana Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mitwero Stendi Kata ya Rasibura wilayani humo.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alisema mkoa wa...
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wakazi wa mkoa wa Lindi watakiwa kushikamana na kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo — Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha...
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Samia: Ichagueni CCM Tabora igawanywe kwa maendeleo
MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema, iwapo wananchi wa Tabora watakiwezesha chama hicho kuongoza nchi tena, mkoa huo utaweza kugawanywa ili maendeleo yapatikane kirahisi.
9 years ago
Habarileo01 Sep
Samia: Wanawake ichagueni CCM
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kuipigia kampeni na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kirudi madarakani. Samia alitoa mwito huo mjini Dodoma jana na kueleza kuwa wanawake ni nguzo muhimu kwa chama hicho, hivyo wanalo jukumu kubwa kuhakikisha CCM inashinda.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Samia afurahishwa wanawake kuwania uongozi
MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan ameelezea kufurahishwa na juhudi za wanawake Zanzibar kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya uchaguzi na kwamba wameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Samia atumia kongamano la wanawake kupiga kampeni