WAKAZI WA MKOA WA LINDI WATAKIWA KUSHIKAMANA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA MAENDELEO - MAMA SALMA KIKWETE
![](http://2.bp.blogspot.com/-EpX3FsPLOIg/VJ_hFA02RrI/AAAAAAAG6G8/i9C8MLmHXpY/s72-c/salma-pps.jpg)
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa jana Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mitwero Stendi Kata ya Rasibura wilayani humo.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alisema mkoa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wakazi wa mkoa wa Lindi watakiwa kushikamana na kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo — Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha...
9 years ago
MichuziFANYENI KAZI KWA BIDII ILI MUWEZE KUJILETEA MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YENU - MAMA SALMA KIKWETE
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Ngunichile na Mbaya vilivyopo katika majimbo ya Nachingwea na Liwale (Pichni)waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa...
10 years ago
Habarileo29 Dec
Mama Salma ataka Lindi wafanye kazi kwa bidii
WAKAZI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R-f339wgAzY/VNsJRDo1W6I/AAAAAAAHDAQ/1W1gbJge_gc/s72-c/salma-pps.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
![](http://2.bp.blogspot.com/-R-f339wgAzY/VNsJRDo1W6I/AAAAAAAHDAQ/1W1gbJge_gc/s1600/salma-pps.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye zoezi la kuipigia kura Katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Wafanyakazi wa Hospitali ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi Tanzania ili kumuunga mkono Mama Salma Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.(Picha na IKULU).
Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia
Wafanyakazi wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais Mhe. Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye zoezi la kuipigia kura Katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
9 years ago
StarTV23 Nov
Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.
Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Watumishi watakiwa kufanya kazi kwa bidii, uwajibikaji na ushirikiano
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti...