Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia: Wanawake ichagueni CCM

MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kuipigia kampeni na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kirudi madarakani. Samia alitoa mwito huo mjini Dodoma jana na kueleza kuwa wanawake ni nguzo muhimu kwa chama hicho, hivyo wanalo jukumu kubwa kuhakikisha CCM inashinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Samia: Ichagueni CCM itatue kero ya maji

MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kuwa endapo wataichagua CCM, itahakikisha inatatua changamoto zinazowakabili ikiwemo maji na umeme.

 

9 years ago

Habarileo

Samia: Ichagueni CCM Tabora igawanywe kwa maendeleo

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema, iwapo wananchi wa Tabora watakiwezesha chama hicho kuongoza nchi tena, mkoa huo utaweza kugawanywa ili maendeleo yapatikane kirahisi.

 

9 years ago

Habarileo

‘Ichagueni CCM ilete viwanda vya chumvi’

WAKAZI wa Mji wa Lindi wameshauriwa kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishinde, kilete viwanda vya kusindika chumvi na kuiongezea thamani.

 

10 years ago

Habarileo

Samia afurahishwa wanawake kuwania uongozi

MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan ameelezea kufurahishwa na juhudi za wanawake Zanzibar kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya uchaguzi na kwamba wameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Samia atumia kongamano la wanawake kupiga kampeni

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan jana alitumia fursa aliyopata katika Kongamano la Wanawake wa Vyuo vikuu na Wanataaluma, lililowakutanisha wagombea wanawake wa vyama vyote vya siasa kukiombea kura chama chake.

 

9 years ago

GPL

SAMIA SULUHU AZURU KONGAMANO LA WANAWAKE DAR

Wakina mama wakionesha tochi zao juu kama ishara ya wanawake kupata nuru ya uwakilishi serikalini kupitia Bi. Samia Suluhu. Mhadhiri Chuo cha Muhimbili, Dr. Ave Maria Semakafu akiwakaribisha wageni waalikwa. Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria kongamano hilo. Msanii wa muziki wa kizazi…

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu UWT aomba wanawake wasimwangushe Samia

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani hapa, Rehema Haule amewaomba wanawake kumchagua mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ili wapate makamu wa rais ambaye atakuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika historia ya Tanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Samia: Wanawake tushirikiane, tusaidiane kujiletea maendeleo

WANAWAKE nchini wametakiwa kuwa na tabia ya kushirikiana na kusaidiana hususani katika mambo ya kujiletea maendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja.

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani