Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

.Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA MWENZA CCM APUKUTISHA UPINZANI LINDI, 61 WAJUNGA NA CCM WAMO VIONGOZI



10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi



10 years ago
Michuzi
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani



10 years ago
MichuziMGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI. SAMIA SULUHU HASSAN ALITIKISA JIJI LA ARUSHA
10 years ago
Michuzi
MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO LEO




10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO





10 years ago
Michuzi
Viongozi wa CHADEMA Gairo, Mikumi Wakimbilia CCM, Mama Samia Suluhu Hassan Awapokea





10 years ago
Vijimambo
MH. MAGUFULI AMTANGAZA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Mh. Samia Suluhu Hassan.
Mh Magufuli amemtangaza Mh Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu.
Baada ya kumtangaza Mh Samia kuwa mgombea mwenza wake, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe na vigelele.
Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru kwa Tanzania kuwa...
10 years ago
Vijimambo
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS








