Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : Majimbo ya Kilindi, Mkinga na Muheza mkoani Tanga hayana dalili nzuri kwa upinzani

Jimbo la Kilindi lina jumla kata 20, vijiji 102 na vitongoji 615 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kuna wakazi 236,833 wanaume ni 118,167 na wanawake 118,666 kukiwa na wastani wa watu watano katika kila kaya.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015: Ukawa haina kitu majimbo ya Handeni na Korogwe

Leo tunaendelea na uchambuzi wa Mkoa wa Tanga kwa kuangalia majimbo ya Handeni, Korogwe Mjini na Korogwe Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya mkoa wa Unguja Magharibi ya Magomeni, Mji Mkongwe, Mpendae na Rahaleo

Magomeni ni kati ya majimbo yaliyoweka rekodi ya juu ya ushindani wa kisiasa mwaka 1995 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Chama Cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) viliingia kwenye vita kubwa vikisindikizwa na vyama vingine vitano ambavyo ni TPP, Tadea, NRA, UDP na Chadema.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa yategemea nguvu ya CUF, NCCR majimbo yote ya Urambo, Sikonge

Jimbo la Sikonge ni mamlaka yote ya Wilaya ya Sikonge yenye kata 20, vijiji 71 na vitongoji 281. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, jimbo hili lina wakazi 179,883, wanaume wakiwa 88,947, wanawake 90,936 na wastani wa watu ni 5.9 katika kila kaya.

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU AVUNA KURA ZA MKOA WOTE WA TABORA KWENDA CCM,SASA KUPAA KUELEKEA MKOA MWINGINE HAPO KESHO

Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi katika moja ya Majimbo mkoa wa Tabora hii leo wakati wa ziara yake ya kuzunguka Mkoa wa Tabora wote kwaajili ya kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Kuwaombea Kura Madiwani,Wabunge na Rais mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu Nchemba katika harakazi za kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo kwa Mkoa wa Tabora na Nchi nzima hii leo akiwa Tabora Jimbo la Igunga.Chagua Almasi Maige kwa Maendeleo ya Tabora Kaskazini.Mjumbe wa timu ya Ushindi ya CCM...

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA

Marehemu Seleman Kapalu. Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani