KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa yategemea nguvu ya CUF, NCCR majimbo yote ya Urambo, Sikonge
Jimbo la Sikonge ni mamlaka yote ya Wilaya ya Sikonge yenye kata 20, vijiji 71 na vitongoji 281. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, jimbo hili lina wakazi 179,883, wanaume wakiwa 88,947, wanawake 90,936 na wastani wa watu ni 5.9 katika kila kaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero
>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.
10 years ago
Mwananchi25 Mar
KUELEKEA MAJIMBONI 2015: Ukawa haina kitu majimbo ya Handeni na Korogwe
Leo tunaendelea na uchambuzi wa Mkoa wa Tanga kwa kuangalia majimbo ya Handeni, Korogwe Mjini na Korogwe Vijijini.
10 years ago
Mwananchi28 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula
Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.
10 years ago
Mwananchi14 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Manyara (ii): Ngoma droo majimbo ya Kiteto, Mbulu na Simanjiro
Jimbo la Kiteto ni eneo lote la mamlaka ya Wilaya ya Kiteto likiwa na kata 23, vijiji 64 na vitongoji 285. Ndani ya maeneo haya kuna mamlaka mbili za miji midogo, kuna ile ya Kibaya na nyingine ikijulikana kama Matui. Kiteto ina jumla ya wakazi 244,669, wanaume ni 120,233, wanawake 124,436 na kuna wastani wa watu watano kwa kila kaya.
10 years ago
Mwananchi10 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : CCM ina kazi majimbo ya Buchosa, Sengerema na Ukerewe
Wilaya ya Sengerema ni eneo lote la majimbo ya Sengerema na Buchosa yenye jumla ya kata 47, vijiji 153 na vitongoji 837. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Sengerema ina jumla ya wakazi 663,034, wanaume wakiwa 330,018, wanawake 333,016 na kuna wastani wa watu 6 katika kika kaya.
10 years ago
Mwananchi24 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho
Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.
10 years ago
Mwananchi24 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM
Uchambuzi wa leo unaangazia majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kalambo na Kwela, yote yakiwa sehemu muhimu ya mkoa huu. Majimbo yote matatu kila moja lina hadhi ya wilaya.
10 years ago
Mwananchi19 Jul
KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya mkoa wa Unguja Magharibi ya Magomeni, Mji Mkongwe, Mpendae na Rahaleo
Magomeni ni kati ya majimbo yaliyoweka rekodi ya juu ya ushindani wa kisiasa mwaka 1995 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Chama Cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) viliingia kwenye vita kubwa vikisindikizwa na vyama vingine vitano ambavyo ni TPP, Tadea, NRA, UDP na Chadema.
10 years ago
Mwananchi29 Mar
KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : Majimbo ya Kilindi, Mkinga na Muheza mkoani Tanga hayana dalili nzuri kwa upinzani
Jimbo la Kilindi lina jumla kata 20, vijiji 102 na vitongoji 615 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kuna wakazi 236,833 wanaume ni 118,167 na wanawake 118,666 kukiwa na wastani wa watu watano katika kila kaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania