Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya mkoa wa Unguja Magharibi ya Magomeni, Mji Mkongwe, Mpendae na Rahaleo

Magomeni ni kati ya majimbo yaliyoweka rekodi ya juu ya ushindani wa kisiasa mwaka 1995 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Chama Cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) viliingia kwenye vita kubwa vikisindikizwa na vyama vingine vitano ambavyo ni TPP, Tadea, NRA, UDP na Chadema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : CCM ijihadhari majimbo ya Mbarali, Mbozi Magharibi na Mbozi Mashariki

Jimbo la Mbarali kama yalivyo mengine lilianza siasa za vyama vingi mwaka 1995 kwa ushawishi wa kipekee kutoka kwa vyama mbalimbali, huku NCCR Mageuzi ikionyesha kila aina ya makeke.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015: Ukawa haina kitu majimbo ya Handeni na Korogwe

Leo tunaendelea na uchambuzi wa Mkoa wa Tanga kwa kuangalia majimbo ya Handeni, Korogwe Mjini na Korogwe Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Manyara (ii): Ngoma droo majimbo ya Kiteto, Mbulu na Simanjiro

Jimbo la Kiteto ni eneo lote la mamlaka ya Wilaya ya Kiteto likiwa na kata 23, vijiji 64 na vitongoji 285. Ndani ya maeneo haya kuna mamlaka mbili za miji midogo, kuna ile ya Kibaya na nyingine ikijulikana kama Matui. Kiteto ina jumla ya wakazi 244,669, wanaume ni 120,233, wanawake 124,436 na kuna wastani wa watu watano kwa kila kaya.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : CCM ina kazi majimbo ya Buchosa, Sengerema na Ukerewe

Wilaya ya Sengerema ni eneo lote la majimbo ya Sengerema na Buchosa yenye jumla ya kata 47, vijiji 153 na vitongoji 837. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Sengerema ina jumla ya wakazi 663,034, wanaume wakiwa 330,018, wanawake 333,016 na kuna wastani wa watu 6 katika kika kaya.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM

Uchambuzi wa leo unaangazia majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kalambo na Kwela, yote yakiwa sehemu muhimu ya mkoa huu. Majimbo yote matatu kila moja lina hadhi ya wilaya.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi mbalimbali ya chama.Sehemu ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani