Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA

Marehemu Seleman Kapalu. Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani wa CCM afariki dunia

DIWANI wa Ilunde, wilayani Mlele, Filberti Katola (CCM) amefariki duani juzi saa saba mchana. Katola (49) alifikwa na mauti hayo wakati akisafirishwa kurudishwa kijijini kwake Ilunde baada ya kuruhusiwa kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Saleh Mpwimbwi afariki Dunia leo

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Ndg. Saleh Ramadhan Mpwimbwi (pichani) amefariki Dunia asubuhi ya leo kwa ajali ya Gari alilokuwa akiendesha mwenyewe, maeneo ya katikati ya Kijiji cha Hondogo na Miono.
Chanzo cha ajali hiyo,kinaelezwa kuwa ni kupasuka kwa tairi ya nyuma wakati akiwa kwenye mwendo na kushindwa kuliongoza gari hilo na kupelekea kupinduka.
Mwili wa Marehemu umepelewa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.
Taratibu zote za msiba huo,zinafanyika Nyumbani kwake...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani wa Sululu afariki dunia

DIWANI wa kata ya Sululu katika Halmashauri ya mji wa Masasi, Zuberi Mrope (CCM) amefariki dunia juzi katika hospitali ya Mkomaindo Masasi alikolazwa kutokana na maradhi ya saratani na kuzikwa jana kijijini kwao Sululu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani Mbweni afariki dunia

DIWANI wa Mbweni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Boniface Mnyachibwe (CCM) amefariki dunia jana. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Naibu Meya wa manispaa hiyo, Songoro Mnyonge, alisema Mnyachibwe...

 

5 years ago

Michuzi

CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA DIWANI WA CCM KATA YA LUPINGU LEO

Gari aina ya Toyota Coaster iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka Ludewa Mjini kuelekea Lupingu baada ya kupata ajali iliyoondoa uhai wa Diwani wa Viti Maalum CCM Kata ya Lupingu, Prisca Kayombo (Zaruta). Diwani wa Viti Maalum CCM Kata ya Lupingu, Prisca Kayombo (Zaruta) wa  tatu  kushoto enzi za uhai wake…

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA NYIDA SHINYANGA (CCM) AMEFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI

SHINYANGA, Tanzania
DIWANI wa Kata ya Nyida wilayani Shinyanga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Shindiko Masele(40) amekufa papo hapo baada ya kupinduka na pikipiki aliyokuwa akiendesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Sosteness Ngassa alisema diwani huyo alipata ajali hiyo jumamosi saa 2.30 usiku wakati alipojaribu kumkwepa mwendesha baiskeli na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani