Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani wa CCM afariki dunia

DIWANI wa Ilunde, wilayani Mlele, Filberti Katola (CCM) amefariki duani juzi saa saba mchana. Katola (49) alifikwa na mauti hayo wakati akisafirishwa kurudishwa kijijini kwake Ilunde baada ya kuruhusiwa kutoka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA

Marehemu Seleman Kapalu. Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…

 

10 years ago

Habarileo

Diwani wa Sululu afariki dunia

DIWANI wa kata ya Sululu katika Halmashauri ya mji wa Masasi, Zuberi Mrope (CCM) amefariki dunia juzi katika hospitali ya Mkomaindo Masasi alikolazwa kutokana na maradhi ya saratani na kuzikwa jana kijijini kwao Sululu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani Mbweni afariki dunia

DIWANI wa Mbweni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Boniface Mnyachibwe (CCM) amefariki dunia jana. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Naibu Meya wa manispaa hiyo, Songoro Mnyonge, alisema Mnyachibwe...

 

11 years ago

GPL

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake. Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki…

 

11 years ago

GPL

KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA

Waombolezaji ndugu na jamaa wakitoa jeneza na aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa  leo.…

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Saleh Mpwimbwi afariki Dunia leo

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Ndg. Saleh Ramadhan Mpwimbwi (pichani) amefariki Dunia asubuhi ya leo kwa ajali ya Gari alilokuwa akiendesha mwenyewe, maeneo ya katikati ya Kijiji cha Hondogo na Miono.
Chanzo cha ajali hiyo,kinaelezwa kuwa ni kupasuka kwa tairi ya nyuma wakati akiwa kwenye mwendo na kushindwa kuliongoza gari hilo na kupelekea kupinduka.
Mwili wa Marehemu umepelewa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.
Taratibu zote za msiba huo,zinafanyika Nyumbani kwake...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ......: Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Dodoma afariki dunia

Taatifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoani Dodoma, Mariam Mfaki amefariki dunia leo katika Hospitali ya Dodoma, alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa kansa uliokuwa ukimsumbua, familia yake imethibitisha kutokea kwa kifo hicho.Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kadri zitakavyokuwa zikitufikia.
Mungu aiweke Roho yake mahala pema Peponi
-Amin.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Mbunge wa Geita (CCM) Mhe. Donald Kevin Max afariki dunia

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geita (CCM) Mheshimiwa Donald Kevin Max (58)(picha) amefariki dunia. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb) kwa Waheshimiwa Wabunge wote pamoja na umma kwa ujumla,  Mhe. Max amefariki dunia tarehe 23 Juni, 2015 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa hii, taarifa zaidi juu ya msiba huu zitaendelea kutolewa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani