Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Saleh Mpwimbwi afariki Dunia leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-3lUmVfdL0WI/VLYIdbL0uuI/AAAAAAAG9Ow/ICVrjepDnT8/s72-c/MMG22220.jpg)
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Miono,Ndg. Saleh Ramadhan Mpwimbwi (pichani) amefariki Dunia asubuhi ya leo kwa ajali ya Gari alilokuwa akiendesha mwenyewe, maeneo ya katikati ya Kijiji cha Hondogo na Miono.
Chanzo cha ajali hiyo,kinaelezwa kuwa ni kupasuka kwa tairi ya nyuma wakati akiwa kwenye mwendo na kushindwa kuliongoza gari hilo na kupelekea kupinduka.
Mwili wa Marehemu umepelewa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.
Taratibu zote za msiba huo,zinafanyika Nyumbani kwake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6t1-iQ0hMFA/XoyJzLRnWeI/AAAAAAALmZU/GHHwfqtIFM0l4TVW42y80ewIySU2zos1ACLcBGAsYHQ/s72-c/MIFUGOOOOOOO.jpg)
DIWANI MPWIMBWI ALALAMIKIA MIFUGO HOLELA KATA YA MIONO
![](https://1.bp.blogspot.com/-6t1-iQ0hMFA/XoyJzLRnWeI/AAAAAAALmZU/GHHwfqtIFM0l4TVW42y80ewIySU2zos1ACLcBGAsYHQ/s640/MIFUGOOOOOOO.jpg)
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
DIWANI wa Kata ya Miono ,Halmashauri ya Chalinze ,Bagamoyo Mkoa wa Pwani Juma Mpwimbwi, amelalamikia mifugo holela ikiwa ni pamoja na inayomilikiwa na mfugaji , aliyemtaja kwa jina la Malimengi,ambayo inasababisha kundi la wakulima kupata hasara ya kilimo chao kutokana na uharibifu.
Mbele ya Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani hapa chini ya Mwenyekiti wake Alhaj Abdul Sharifu, Mpwimbwi alisema ,mfugaji huyo amekuwa na kiburi cha fedha alizonazo,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA
9 years ago
MichuziKATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU) RASHID SALEH AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-5nggYwsWYeE/VlGg8ib5KsI/AAAAAAAAUVc/JiwayHkXqf8/s640/IMG-20151121-WA0018.jpg)
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Mwenyekiti wa Ukawa afariki dunia
JONAS MUSHI, DAR NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, amefariki dunia.
Dk. Makaidi ambaye alikuwa akigombea ubunge katika Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD alichokuwa mwenyekiti wake, alifariki dunia jana saa 7:15 mchana katika Hospitali ya Nyangao, mkoani Lindi alikokuwa akitibiwa.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, Meneja wa kampeni za Makaidi, Faraji Mangochi, alisema kabla hajapelekwa...
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya afariki dunia
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma, Bakari Menge amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BREAKING-NEWS.gif)
MWENYEKITI WA NLD, EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
9 years ago
Michuzi15 Oct
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/P1iterCve3P81J3Zef--nJSyYac9aXLRICojNDu6Sier_pa79P9lYmwMszGqtXVhqzHNaNFP_wookvMc8GrDDaTtdaZ_G4JgDE4kQs2UzhITfNbCn1JsItJBCJjOOtvpBvSfAboQjW1-w5Jfkf0zsN4GRtQ6wVo=s0-d-e1-ft#http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2731006/highRes/1021109/-/maxw/600/-/i9vq6k/-/Makaidi.jpg)
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi...