ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
UPDATES:- JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu baada ya kuongea na familia ya marehemu
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BREAKING-NEWS.gif)
MWENYEKITI WA NLD, EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki
10 years ago
Mwananchi27 May
UCHAGUZI UPINZANI 2015: Dk Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti NLD
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
LOWASSA Aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho za marehemu Dkt.Emmauel John Makaidi aliyekuwa Mwenyekiti chama cha NLD
Mh.Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho katika geneza liloweka mwili wa Shujaa wa Mabadiliko Dkt.Emmanuel Mkaidi katika viwanja vya karimjee jijini Dar -es- Salaam leo Oct 20,2015.
Mke wa Mh.Edward Lowassa Mma Regina akisalimi na mjane wa Dkt Mkaidi katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Dkt. Emmanuel Makaidi katika viwanja vya karimjee Oct 20,2015.
Mh.Mmbowe Mwenyekiti wa Chadema wakisalimiana na katibu mkuu wa TFF Selestine Mwesigwa mara baada ya kutoa heshma za mwisho wa pili...
9 years ago
Habarileo16 Oct
Makaidi wa NLD afariki
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi (74), ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kwa tiketi ya chama hicho, amefariki dunia.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi...
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Mwenyekiti wa Ukawa afariki dunia
JONAS MUSHI, DAR NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, amefariki dunia.
Dk. Makaidi ambaye alikuwa akigombea ubunge katika Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD alichokuwa mwenyekiti wake, alifariki dunia jana saa 7:15 mchana katika Hospitali ya Nyangao, mkoani Lindi alikokuwa akitibiwa.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, Meneja wa kampeni za Makaidi, Faraji Mangochi, alisema kabla hajapelekwa...
9 years ago
TheCitizen16 Oct
NLD chairman Makaidi dies
9 years ago
Habarileo17 Oct
Kikwete amlilia Makaidi, awapa pole NLD
RAIS Jakaya Kikwete amekitumia Chama cha National League for Democracy (NLD) salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi ambaye ameaga dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi.