Kikwete amlilia Makaidi, awapa pole NLD
RAIS Jakaya Kikwete amekitumia Chama cha National League for Democracy (NLD) salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi ambaye ameaga dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Dk Magufuli awapa pole Kikwete, Mkapa
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewapa pole Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kwa kuwateua watu wasiofaa.
10 years ago
Habarileo16 Oct
Makaidi wa NLD afariki
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi (74), ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kwa tiketi ya chama hicho, amefariki dunia.
10 years ago
TheCitizen16 Oct
NLD chairman Makaidi dies
The chairman of the opposition National League for Democracy (NLD), Dr Emmanuel Makaidi, died yesterday in Mtwara.
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA


10 years ago
GPL
MWENYEKITI WA NLD, EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake. MWENYEKITI Mwenza wa Ukawa na Mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amefariki dunia leo mchana kwa shinikizo la damu akiwa Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi. Wasifu wake Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle...
10 years ago
Mwananchi27 May
UCHAGUZI UPINZANI 2015: Dk Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti NLD
>Dk Emmanuel Makaidi ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki leo mchana
10 years ago
Michuzi15 Oct
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA

WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania