RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Benson Mpesya juu ya madhara makubwa ya mali na maisha ya watu wakati wa ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa familia zilizoathirika na mvua kali iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Mar
Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Rais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe,Kahama leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Machi 12,2015.
Maelfu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
10 years ago
GPLBEYONCE AWAPA POLE WAFIWA MAUAJI KANISANI
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC YASAIDIA WAATHIRIKA WA MFUA YA MAWE KAHAMA
10 years ago
MichuziRais Kikwete awafariji waathirika wa mvua ya dhoruba Chalinze
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana aliwafariji na kuahidi kuzisaidia kaya 40 ambazo nyumba zao ziliharibiwa vibaya na mvua mkubwa iliyoambatana na upepo mkali wiki iliyopita huko Chalinze,wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Katika ziara hiyo Rais Kikwete ambaye alikuwa amefuatana na mkewe mama Salma Kikwete alikagua Shule ya msingi Chalinze, Ofisi ya CCM, na nyumba kadhaa za wanakijiji ambazo ziliharibiwa vibaya na mvua hizo na kujeruhi baadhi ya wanavijiji...
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Mvua ya mawe yaua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
10 years ago
Vijimambo05 Mar
Habari Kamili kuhusiana na Mvua ya mawe ilivyoua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
Kahama. Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi usiku imesababisha maafa katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambako zaidi ya watu 42 wameuawa, wakiwamo saba wa familia moja na wengine 91 kujeruhiwa vibaya.Mvua hiyo ya aina yake ilisababisha nyumba 160 kuanguka na...
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA