Rais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe,Kahama leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Machi 12,2015.
Maelfu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA


10 years ago
Uhuru Newspaper
Mvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO


10 years ago
Mwananchi05 Mar
Mvua ya mawe yaua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi usiku imesababisha maafa katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambako zaidi ya watu 42 wameuawa, wakiwamo saba wa familia moja na wengine 91 kujeruhiwa vibaya.
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo… ...
10 years ago
Michuzi20 Mar
Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama


10 years ago
Uhuru NewspaperMwitiko wa serikali kuhusu maafa ya mvua Kahama...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA
Kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
Dk. Florens TurukaKutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA
Kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
10 years ago
Vijimambo05 Mar
Habari Kamili kuhusiana na Mvua ya mawe ilivyoua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa

Kahama. Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi usiku imesababisha maafa katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambako zaidi ya watu 42 wameuawa, wakiwamo saba wa familia moja na wengine 91 kujeruhiwa vibaya.Mvua hiyo ya aina yake ilisababisha nyumba 160 kuanguka na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania