Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama
Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Shinyanga Lawrence Munisi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kushoto) msaada wa tani saba na nusu za saruji kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokana na mvua yam awe yaliyotokea kijiji cha Mwakata Wilaya ya Kahama.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya Posta mara baada ya kupokea msaada wa tani saba na nusu za mifuko ya saruji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hIBB5Bp5Jk8/VQMR6FEz24I/AAAAAAAHKI4/bEpNleVA9q8/s72-c/k1.jpg)
RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hIBB5Bp5Jk8/VQMR6FEz24I/AAAAAAAHKI4/bEpNleVA9q8/s1600/k1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HgSy7DNV8_M/VQMR6fNugWI/AAAAAAAHKJA/aBEVzmoYwD8/s1600/k2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hlfE9omHFHk/VP6gzjqzSCI/AAAAAAAHJPw/tiSdKem9qX8/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
BENKI YA NBC YASAIDIA WAATHIRIKA WA MFUA YA MAWE KAHAMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-hlfE9omHFHk/VP6gzjqzSCI/AAAAAAAHJPw/tiSdKem9qX8/s1600/unnamed%2B(58).jpg)
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Mvua ya mawe yaua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Rais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe,Kahama leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Machi 12,2015.
Maelfu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
10 years ago
Vijimambo05 Mar
Habari Kamili kuhusiana na Mvua ya mawe ilivyoua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2643086/highRes/959286/-/maxw/600/-/im6d6gz/-/mafuriko_kahama.jpg)
Kahama. Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi usiku imesababisha maafa katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambako zaidi ya watu 42 wameuawa, wakiwamo saba wa familia moja na wengine 91 kujeruhiwa vibaya.Mvua hiyo ya aina yake ilisababisha nyumba 160 kuanguka na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OW2MOxjTk2I/VePLe-FUY4I/AAAAAAAH1Hs/zYMpXyZGFz4/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
OFISI YA WAZIRI MKUU YAKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA YA MAWE NA UPEPO MWAKATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OW2MOxjTk2I/VePLe-FUY4I/AAAAAAAH1Hs/zYMpXyZGFz4/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mKwlVYTw7wo/VePLfkwA8QI/AAAAAAAH1Hw/IjJTUgalN9k/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, katika kijiji cha Mwakata, wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Bw.Benson Mpesya akionyeshwa Baadhi ya vyakula na vifaa vilivyo gharimu milioni 30, na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw.Ally Maswanya, kama msaada kwa waathirika wa mafuriko, katika kijiji...