BENKI YA NBC YASAIDIA WAATHIRIKA WA MFUA YA MAWE KAHAMA
.jpg)
Meneja wa Benki ya NBC Martin Nkanda (katikati), akikabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa ajili ya waathirika wa mvua ya mawe kwa wakurugenzi wa halmashauri tatu za Wilaya ya Kahama katika hafla iliyofanyika Kahama, Shinyanga juzi. Zaidi ya watu 40 walisemekana kupoteza maisha huku wengine 82 wakiachwa na majeraha makubwa baada ya mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali kwa muda wa takriban masaa matatu kuvipiga vijiji vitatu vya Wilaya ya Kahama Machi 3 mwaka huu na kuharibu nyumba,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Mar
Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA


10 years ago
MichuziBENKI YA NBC YASAIDIA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT
10 years ago
Habarileo14 Mar
Rais aagiza waathirika Kahama kujengewa
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwajengea nyumba 403 mpya waathirika waliobomolewa nyumba zao na mvua kubwa ya mawe na upepo mkali iliyonyesha usiku wa Machi 3, katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Lowassa, Mbowe wasaidia waathirika Kahama
Sitta Tumma na Paul Kayanda, Kahama
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), ametoa msaada wa Sh milioni 5 kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
Fedha hizo zilikabidhiwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Rufunga.
Wakati wa makabidhiano hayo, waathirika 250 waliohifadhiwa katika Shule ya Msingi Mwakata, walikuwapo pia.
Akizungumza kwa niaba ya Lowassa, Mgeja alisema mbunge huyo alisema yeye na familia yake...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC Idara ya Uendeshaji wafanya mkutano kuweka mikakati ya kuendeleza benki
10 years ago
Michuzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza

