Benki ya NBC Idara ya Uendeshaji wafanya mkutano kuweka mikakati ya kuendeleza benki
Kaimu Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mfanyakazi aliyeitumikia benki hiyo kwa kipindi kirefu cha miaka 27, Said Kilala wakati wa mkutano wa idara ya uendeshaji ya benki hiyo (COO) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya.Kaimu Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA BENKI YA NBC WAPANGA MIKAKATI YA MAENDELEO MWAKA 2015 NA KUZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yadhamini mkutano wa chama cha African Society for Bioinformatics and Computational Biology(ASBCB)
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA JIJINI DAR
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka idara ya Uendeshaji wakimsikiliza Kwa Makini Mkurugenzi wa Idara hiyo wakati akifungua Sherehe ya Kupongezana kwa Wafanyakazi wa Idara hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Tiffany,...
10 years ago
VijimamboWAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM JANA
11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLTRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UENDESHAJI WA KAMPUNI HIYO