Benki ya NBC yadhamini mkutano wa chama cha African Society for Bioinformatics and Computational Biology(ASBCB)

Mfanyakazi wa Benki ya NBC kitengo cha mauzo, Erica Mwaipasi (kulia) akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku tatu wa Chama cha Watumiaji wa Elimu ya Kompyuta katika Sayansi inayohusu Utafiti wa Uhai na Viumbe hai Afrika (ASBCB) uliofanyika jijini Dar es Salaam. NBC ilikuwa mmoja wa wadhamini wa mkutano huo ambao pamoja na mambo mengine ulijadili jinsi elimu hiyo inavyoweza kusaidia ufumbuzi wa tiba ya magonjwa mbalimbali ya binadamu.
Maofisa wa Benki ya NBC Kitengo cha Mauzo,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
BENKI YA NBC YADHAMINI SEMINA YA WAHARIRI WA BIASHARA NA UCHUMI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya NBC Idara ya Uendeshaji wafanya mkutano kuweka mikakati ya kuendeleza benki
11 years ago
Michuzi
BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI MOSHI
10 years ago
MichuziBENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI KWA MILIONI 75
Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, umezinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe.
Akizungumza katika uzinduzi huo , Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, alisema...
11 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI NA KUSHIRIKI KONGAMANO LA CHAMA CHA MAAFISA RASILIMALI WATU
11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT
10 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Sep
Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.
Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]
The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU WA PILI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO TCRA