Lowassa, Mbowe wasaidia waathirika Kahama
Sitta Tumma na Paul Kayanda, Kahama
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), ametoa msaada wa Sh milioni 5 kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
Fedha hizo zilikabidhiwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Rufunga.
Wakati wa makabidhiano hayo, waathirika 250 waliohifadhiwa katika Shule ya Msingi Mwakata, walikuwapo pia.
Akizungumza kwa niaba ya Lowassa, Mgeja alisema mbunge huyo alisema yeye na familia yake...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Mar
Lowassa, Mbowe wajitokeza Kahama.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-10March2015.jpg)
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2620198/highRes/442879/-/maxw/600/-/pe6po3z/-/MBOWE.jpg)
Akizungumza kwa niaba ya Lowassa ambaye pia ni mbunge wa Monduli, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, alisema mbunge huyo ametoa rambIrambi ya Sh. milioni tano kwa ajili ya wananchi wote...
10 years ago
Habarileo14 Mar
Rais aagiza waathirika Kahama kujengewa
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwajengea nyumba 403 mpya waathirika waliobomolewa nyumba zao na mvua kubwa ya mawe na upepo mkali iliyonyesha usiku wa Machi 3, katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hlfE9omHFHk/VP6gzjqzSCI/AAAAAAAHJPw/tiSdKem9qX8/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
BENKI YA NBC YASAIDIA WAATHIRIKA WA MFUA YA MAWE KAHAMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-hlfE9omHFHk/VP6gzjqzSCI/AAAAAAAHJPw/tiSdKem9qX8/s1600/unnamed%2B(58).jpg)
10 years ago
Michuzi20 Mar
Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama
![Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Shinyanga Lawrence Munisi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kushoto) msaada wa tani saba na nusu za saruji kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokana na mvua yam awe yaliyotokea kijiji cha Mwakata Wilaya ya Kahama.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/Maafa-1.png)
![Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya Posta mara baada ya kupokea msaada wa tani saba na nusu za mifuko ya saruji zilizotolewa na benki hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/Maafa-2.png)
10 years ago
Vijimambo17 Mar
Chadema yatoa mabati 850 kwa waathirika mafuriko Kahama
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Dr.Slaa-16March2015.jpg)
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa (pichani), alisema msaada huo una thamani ya Sh. milioni 12.
Dk. Slaa alifafanua kuwa kati ya kiasi hicho cha fedha zilizonunua mabati, Sh. milioni 10 ni sehemu ya ruzuku inayotolewa na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hIBB5Bp5Jk8/VQMR6FEz24I/AAAAAAAHKI4/bEpNleVA9q8/s72-c/k1.jpg)
RAIS KIKWETE AWAPA POLE WAFIWA NA WAATHIRIKA WA MVUA YA MAWE KAHAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hIBB5Bp5Jk8/VQMR6FEz24I/AAAAAAAHKI4/bEpNleVA9q8/s1600/k1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HgSy7DNV8_M/VQMR6fNugWI/AAAAAAAHKJA/aBEVzmoYwD8/s1600/k2.jpg)
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, katika kijiji cha Mwakata, wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Bw.Benson Mpesya akionyeshwa Baadhi ya vyakula na vifaa vilivyo gharimu milioni 30, na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw.Ally Maswanya, kama msaada kwa waathirika wa mafuriko, katika kijiji...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mbowe, Lowassa wamsomesha JK
KIONGOZI Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wameikosoa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wakisema kuwa ajira kwa vijana ni bomu linalofanyiwa mzaha. Hii...