Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti wa Chadema Wilaya afariki dunia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma, Bakari Menge amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Msiba: Mjumbe wa NEC Ludewa ambae ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo afariki dunia

CHAMA  cha  mapinduzi (CCM)  wilaya ya  Ludewa  mkoani  Njombe  kimepata  pigo  kubwa kufuatia  kifo  cha  aliyekuwa  mjumbe  wa  Halmashauri  kuu ya wilaya  hiyo (NEC)  Bi  Elizabeth Haule.Mbali ya  kuwa MNEC  wa  wilaya  hiyo  Haule  pia  alikuwa ni mwenyekiti  wa UVCCM wilaya ya  Ludewa  kabla ya  kujiuzulu kwake mwezi  February mwaka jana baada ya  kuchaguliwa nafasi hiyo ya  NEC na  nafasi   hiyo  kuwa  wazi  hadi sasa.

Katibu   mwenezi  wa  CCM  wilaya  ya  Ludewa  Felix Haule  alisema ...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti wa Ukawa afariki dunia

makaidiJONAS MUSHI, DAR NA FLORENCE SANAWA, MTWARA

MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, amefariki dunia.

Dk. Makaidi ambaye alikuwa akigombea ubunge katika Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD alichokuwa mwenyekiti wake, alifariki dunia jana saa 7:15 mchana katika Hospitali ya Nyangao, mkoani Lindi alikokuwa akitibiwa.

Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, Meneja wa kampeni za Makaidi, Faraji Mangochi, alisema kabla hajapelekwa...

 

9 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NLD, EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA

Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake. MWENYEKITI Mwenza wa Ukawa na Mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amefariki dunia leo mchana kwa shinikizo la damu akiwa Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi. Wasifu wake Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle...

 

11 years ago

Michuzi

TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo enzi za uhai wake Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.(Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake . Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda...

 

9 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA

UPDATES:- JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu baada ya kuongea na familia ya marehemu
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbogwe arejeshwa kwao Rwanda

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani