Msiba: Mjumbe wa NEC Ludewa ambae ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo afariki dunia

CHAMA cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kimepata pigo kubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya wilaya hiyo (NEC) Bi Elizabeth Haule.Mbali ya kuwa MNEC wa wilaya hiyo Haule pia alikuwa ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Ludewa kabla ya kujiuzulu kwake mwezi February mwaka jana baada ya kuchaguliwa nafasi hiyo ya NEC na nafasi hiyo kuwa wazi hadi sasa.
Katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa Felix Haule alisema ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya afariki dunia
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma, Bakari Menge amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA MSIBA: MKUU wa Wilaya mstaafu, Margaret Kipaya afariki dunia

10 years ago
MichuziMWENYEKITI wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila azikwa kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa

Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo



11 years ago
GPL
10 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
11 years ago
GPL
MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL
MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!
11 years ago
GPL
MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!