Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA


Mwanamuziki Mkongwe kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta,pichani kulia enzi za uhai wake akiwa kazini,ajulikanae kwa jina la Amigolas amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo,katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha Globu ya Jamii imezipata kutoka kwa vyanzo vya kuaminika,zinaeleza kuwa Marehemu Amigolas alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Moyo mpaka kufariki kwake.
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mrithi wa MCD Twanga kutambulishwa Mzalendo Pub leo

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho la aina yake katika kusherehekea Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA

Ben Kiko enzi za uhai wake. ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake . Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda...

 

11 years ago

GPL

MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!

Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake. Max (kushoto), akiwa katika moja ya kazi zake enzi za uhai wake. Kulia ni mwanahabari mwenzake. Mpiga picha mkongwe wa Televisheni, Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia leo, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar es salaam. Habari zilizothibitishwa na ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe...

 

10 years ago

GPL

MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014. Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani