MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMZkuh*nJrs4jL7a9TgQWoSIoHR8ZkYGqU1Nr0P9kR6avK0ZThY7oFCLohKYt8ekKH24ZCS2c8QxmgsYicj3rOM0/benKiko.jpg?width=650)
Ben Kiko enzi za uhai wake. ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM31 Oct
MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR
ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qpuzt31zWvQ/VFMqQQzRcbI/AAAAAAAAJCw/Wjzu5H-41zY/s72-c/10404078_804304932941087_3151379507521605264_n.jpg)
News Alert: mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-qpuzt31zWvQ/VFMqQQzRcbI/AAAAAAAAJCw/Wjzu5H-41zY/s640/10404078_804304932941087_3151379507521605264_n.jpg)
MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko ambaye jina lake kamili ni Ben Hamisi Kikoromo alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani...
10 years ago
Habarileo01 Nov
Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia
ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.
9 years ago
Bongo515 Dec
Mtangazaji wa habari za Kiswahili wa KTN ya Kenya, Ahmed Darwesh afariki dunia
![BxBRwxyIUAAvopI](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/BxBRwxyIUAAvopI-300x194.jpg)
Mtangazaji mahiri wa habari za Kiswahili katika kituo cha runinga cha KTN cha Kenya, Ahmed Darwesh amefariki dunia.
Darwesh alikutwa akiwa amepoteza maisha kwenye kochi nyumbani kwake Jumatatu jioni. Alikuwa anatarajiwa kwenda kusoma habari ya saa moja jioni.
Mtangazaji huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda.
Kifo chake kimewasikitisha wengi hasa kwakuwa alikuwa akipendwa kwa usomaji wake wa habari za Kiswahili kwenye kituo hicho.
Anatarajiwa kuzikwa Jumanne hii.
Jiunge...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-Flok1D8F63cRDmkjGdDU0rP7OXY9RxCTgfNdMy7ToOesHle07WA4TttdqFRmaqPacJspWs7EAVw9Q3ObdJEEA9Vl0/beakingnews.gif)
MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!
11 years ago
GPLMSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oA2-k-5x*29un6EHy128i5HBiVBGhTJqBFs8NbbzZrPaJxjkjzM4MGNgEolqppVoxbl7MRe7IYNS5lPCibfpyI/maxi.jpg)
MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEVL74U4Y-rRPN9uLiFwUHj0Em8UwkVdUrD1Yoxk0Aw4lvLzqBmkhvJXluN-YRCrBZmTAsxUfmojpISP*TK82eDV/breaking.gif)
MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!