Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014. Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHERRY MAGALI AUGUA, AKONDA

Stori:  Hamida Hassan
STAA wa filamu za vichekesho Bongo ambaye ni mtoto wa Mzee Charles Magali, Sherry Charles Magali ana hali mbaya na sasa ukimuona huwezi kumtambua kama ni yeye. Sherry Charles Magali kabla ya kukonda. Hali hiyo imekuja kutokana na maelezo kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kiasi cha kumfanya akonde sana na lile wowowo lake lililokuwa likimtambulisha kwenye usanii kupotea. “Yaani sina hata la...

 

11 years ago

GPL

SHERRY MAGALI APATA AJALI AKIENDA MSIBANI

STORI: Hamida Hassan na Gladness Mallya STAA wa vichekesho, Sherry Magali ambaye pia ni mtoto wa msanii wa filamu Charles Magali amepata ajali na kuvunjika mguu alipokuwa njiani akielekea kwenye msiba wa George Otieno ‘Tyson’. Staa wa vichekesho, Sherry Magali akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya ajali.
Chanzo kilichoshuhudia ajali hiyo kilieleza kuwa, ilitokea maeneo ya Sinza Kijiweni jijini Dar akiwa...

 

10 years ago

GPL

MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO

Mwili wa marehemu Sherry ukitolewa nje ya kanisa la Mtakatifu Patriki, Morogoro baada ya kuombewa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nje ya kanisa ukiongozwa na mama wa marehemu, Flora Msiba mwenye kilemba cheupe .…

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII YP AFARIKI DUNIA

Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA

Ben Kiko enzi za uhai wake. ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake . Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda...

 

11 years ago

GPL

MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!

Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake. Max (kushoto), akiwa katika moja ya kazi zake enzi za uhai wake. Kulia ni mwanahabari mwenzake. Mpiga picha mkongwe wa Televisheni, Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia leo, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar es salaam. Habari zilizothibitishwa na ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani