SHERRY MAGALI APATA AJALI AKIENDA MSIBANI

STORI: Hamida Hassan na Gladness Mallya STAA wa vichekesho, Sherry Magali ambaye pia ni mtoto wa msanii wa filamu Charles Magali amepata ajali na kuvunjika mguu alipokuwa njiani akielekea kwenye msiba wa George Otieno ‘Tyson’. Staa wa vichekesho, Sherry Magali akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya ajali. Chanzo kilichoshuhudia ajali hiyo kilieleza kuwa, ilitokea maeneo ya Sinza Kijiweni jijini Dar akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SHERRY MAGALI AUGUA, AKONDA
11 years ago
GPL
MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!
11 years ago
GPL
MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO
10 years ago
Vijimambo
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'

Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
11 years ago
GPL
GABO APATA AJALI
11 years ago
GPL
SHAMSA APATA AJALI
11 years ago
Tanzania Daima24 May
DC wa Karagwe apata ajali
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...
10 years ago
Vijimambo22 Oct
NAPE APATA AJALI

Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.
Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...
5 years ago
CCM Blog
DEREVA WA BODABODA APATA AJALI

