Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHERRY MAGALI AUGUA, AKONDA

Stori:  Hamida Hassan
STAA wa filamu za vichekesho Bongo ambaye ni mtoto wa Mzee Charles Magali, Sherry Charles Magali ana hali mbaya na sasa ukimuona huwezi kumtambua kama ni yeye. Sherry Charles Magali kabla ya kukonda. Hali hiyo imekuja kutokana na maelezo kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kiasi cha kumfanya akonde sana na lile wowowo lake lililokuwa likimtambulisha kwenye usanii kupotea. “Yaani sina hata la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHERRY MAGALI APATA AJALI AKIENDA MSIBANI

STORI: Hamida Hassan na Gladness Mallya STAA wa vichekesho, Sherry Magali ambaye pia ni mtoto wa msanii wa filamu Charles Magali amepata ajali na kuvunjika mguu alipokuwa njiani akielekea kwenye msiba wa George Otieno ‘Tyson’. Staa wa vichekesho, Sherry Magali akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya ajali.
Chanzo kilichoshuhudia ajali hiyo kilieleza kuwa, ilitokea maeneo ya Sinza Kijiweni jijini Dar akiwa...

 

10 years ago

GPL

MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO

Mwili wa marehemu Sherry ukitolewa nje ya kanisa la Mtakatifu Patriki, Morogoro baada ya kuombewa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nje ya kanisa ukiongozwa na mama wa marehemu, Flora Msiba mwenye kilemba cheupe .…

 

10 years ago

GPL

MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014. Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi…

 

10 years ago

GPL

MAINDA AMLILIA SHERRY MAGARI

Stori: Hamida Hassan Staa wa Filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amemlilia rafiki yake kipenzi Sherry Magari aliyefariki dunia hivi karibuni na kusema hana la kufanya zaidi ya kumuombea. Staa wa Filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na Ijumaa juzi, Mainda alisema alikuwa amejipanga kwenda kumuona jana ‘Alhamisi’ baada ya kusikia kwamba hali yake haikuwa nzuri lakini ikawa...

 

10 years ago

IPPmedia

Sanctions still holding, envoys confirm at Sherry Party


Sanctions still holding, envoys confirm at Sherry Party
IPPmedia
A section of diplomatic missions from aid providing countries say that sanctions issued in response to senior government officials siphoning off funds from the country's central bank for disputed energy contracts payments will hold up until a viable solution is ...

 

11 years ago

GPL

QUEEN MAGALI NA SKENDO YA MUME WA MTU

Stori: Richard Bukos
MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amekwepa skendo ya kutoka na mume wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la Stanley na kudai hakujua kama mwanaume huyo ni mume wa mtu. Doreen Reguna ‘Queen Magali’. Msanii huyo, mwishoni mwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam na mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Husna na kufanyiwa...

 

10 years ago

GPL

SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI

Hamida Hassan na Gladness Mallya
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ amedaiwa kumkana Charles Magali ‘Mzee Magali’ na kusema siyo baba yake halisi baada ya ndugu zake kumjia juu na kumtenga. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ Kikizungumza na Ijumaa chanzo makini kilisema kwamba, Sister Fay amemkana Mzee Magali baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Charles Magali kwenye Mishumaa Ya Kale

Charles Magali akiwa ndani ya Kilimanjaro Studio zinazomilikiwa na Vijimambo Radio, Kwanza Production na NesiWangu MediaIjumaa ya Julai 24, 2015, mwigizaji na mwimbaji wa muziki nchini Tanzania Charles Magali alipata fursa ya kutembelea studio zetu zilizopo Beltsville Maryland. Hapo akazungumza nasi kwa ufupi
Karibu umsikilize akihojiwa na Mbunifu na Mtayarishaji wa kipindi hiki Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio

 

10 years ago

Michuzi

Mahojiano na Charles Magali ndani ya Washington DMV

Charles Magali akiwa ndani ya Kilimanjaro Studio zinazomilikiwa na Vijimambo Radio, Kwanza Production na NesiWangu MediaIjumaa ya Julai 24, 2015, mwigizaji na mwimbaji wa muziki nchini Tanzania Charles Magali alipata fursa ya kutembelea studio zetu zilizopo Beltsville Maryland. Hapo akazungumza nasi kwa ufupiKaribu umsikilize akihojiwa na Mbunifu na Mtayarishaji wa kipindi hiki Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani