QUEEN MAGALI NA SKENDO YA MUME WA MTU
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH2SURthfbVsPAFE0e3ME7uIr9FANtFC2cv3uai*sembQ*zmjmWZAEikLcwkPLiGq*vatn9QhP34ziOGyagRbQHe/5queen.jpg?width=650)
Stori: Richard Bukos MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amekwepa skendo ya kutoka na mume wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la Stanley na kudai hakujua kama mwanaume huyo ni mume wa mtu. Doreen Reguna ‘Queen Magali’. Msanii huyo, mwishoni mwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam na mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Husna na kufanyiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s72-c/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas
![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s640/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
Stori:Â Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4Tb3zcBOlaSs8H3zhQGDz6DWeIoeg8sYpfhKveJlj2Xn4bSitpXOF4*GvEbfOQUhTStq1CMvqLMUGHcHvbMFGehx/lulu.jpg?width=650)
LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU
E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke. Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika pozi. Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-1vT*zX-Bf*GInnodcrT8l4*gnuztlCu93OJTj4DtQETsRyWtMK5G*k54C1HgkhB6tRbbjaykSaE30DkzGpcmDj/BACKAMANI.jpg?width=650)
MUME WA MTU ALIVYOAIBIKA
Stori: Mwandishi Wetu,Kahama AIBU! Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia, Amani limenyetishiwa. Joseph akipewa kichapo na wananchi. Kwa mujibu wa mashuhuda, aibu hiyo ilimkuta Joseph, Februari 14, mwaka huu (Siku ya Wapendanao Duniani) kwenye Kitongoji cha Nyihongo wilayani Kahama, Shinyanga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsulok50a524A1Yb-jtCFxiOk*pROSe9wF2DuU6DlK-nYmgeQGTBkGCW413dD5kbO6q5Y86O5Id7Vpv-HqIXveyQn/aunty.jpg)
AUNT MUME WA MTU WANASWA!
Stori: Musa Mateja, Mwanza STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu, Risasi Mchanganyiko linaripoti bila woga. Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo. Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSAWHxohslGdDOfdskTB1sKMFueS5LomF69ziePzlb2vezAFB4vkMxtacqF2tBJm3O7KY49ftfkLbRz8dJstGck/masogange.jpg?width=650)
MASOGANGE: NAOGOPA MUME WA MTU
Na Imelda Mtema
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu. Agnes Jerald ‘Masogange’. Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXrkGkJNd-wu0RS7e0ADQ-P0TUwQBiAFnTuwxTBUQdCS7YR0AvdXJATDoVW2162ezWuTq-gWU938bc4jK3K8k65b/KAJALA.jpg?width=650)
MUME WA MTU AMLIZA KAJALA
Stori:Â Imelda Mtema
BAADA ya kuzagaa kwa skandali kuwa mwigizaji Kajala Masanja anatembea na mume wa mtu, staa huyo ameibuka na kueleza kulizwa na ishu hiyo akianika siri nzito ambayo ilikuwa nyuma ya pazia. Kajala Masanja. Taarifa za awali ambazo Ijumaa Wikienda lilizipata zilieleza kuwa tangu habari hiyo ya mjini ilipuke kama moto wa kifuu kwenye mitandao na baadhi ya magazeti (siyo ya Global), Kajala amekuwa akiishi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania