Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas

KWAKO mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva, Stara Thomas. Bila shaka ni mzima wa afya na unaendelea na mishimishe zako maana najua una mambo mengi, muziki wa kidunia na ule wa kiroho.
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Stara arudisha majeshi Bongo Fleva
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa injili nchini, Stara Thomas ‘Stara’, ameamua kurudi rasmi katika muziki wa Bongo Fleva ambapo hivi karibuni anatarajia kuachia wimbo wake aliomshirikisha Banana Zoro.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Stara alisema anaimani wimbo huo uliopewa jina la ‘Nishike mkono’, utamtambulisha upya.
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...
11 years ago
GPL
QUEEN MAGALI NA SKENDO YA MUME WA MTU
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
11 years ago
GPLMWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA, REMMY WILLIAMS ATUA NCHINI
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL
VIDEO CHAFU BONGO FLEVA, NDIYO UBORA WA KIMATAIFA?