SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI
![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXUF6gjcxZqsw3umf3PjSjorFm6pyApU9tSVczc2hQzVE85J2qAVxx1Xx7URm28nIy4uPZb4dIR2dxWTldRybzB9/FAY.jpg)
Hamida Hassan na Gladness Mallya MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ amedaiwa kumkana Charles Magali ‘Mzee Magali’ na kusema siyo baba yake halisi baada ya ndugu zake kumjia juu na kumtenga. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ Kikizungumza na Ijumaa chanzo makini kilisema kwamba, Sister Fay amemkana Mzee Magali baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 Apr
10 years ago
Michuzi10 Apr
10 years ago
GPLPETER LUSE, MZEE MAGALI WAZINDUA FILAMU YA DINI
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Mzee Magali, Peter Luse Na Stanley Msungu Wazindua Filamu ya Dini
Waigizaji wa filamu, Peter Luse, Mzee Magali na Stanley Msungu wamezindua filamu ya kidini inayotambulika kwa jina la Behind The Pastors.
Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Princess Hall, Sinza-Mapambano, jijini Dar, ambapo mtunzi wa filamu hiyo alisema madhumuni ya kuandaa filamu hiyo ni kubainisha changamoto wanazokutana nazo watumishi wa Mungu kama visa, ugomvi wa madhabahuni na ushirikina.
GPL
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/a5b2c0A_bp0/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/UuGR-hl_1E0/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcIXiP9fGo4rUHJoKlGswCY2Fnus*UfmpC18W31v-zmJOFWbhXGRVmgs2c4W2atmsSp7sJ2*wubjjmz*Zychk4B3/SHERRY.jpg?width=650)
SHERRY MAGALI AUGUA, AKONDA
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7knxRUxE-FoVJf90L6Kpa5VAPvKhE5KlrxEqTY8j5KbqORKBNkZ5WohQu4MaqlgCrLK5Kb0Bq*z5ie2RlWyjG5P/ODAMA.jpg)
ODAMA AMKANA PEDESHEE