Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE APATA AJALI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.

Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.

Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NAPE APATA AJALI MBAYA LINDI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akisafiria aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka eneo la Nyangao, Lindi. Nape amepata majeraha kidogo baada ya ajali hiyo ila anaendelea… ...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APATA AJALI

MWANADADA Bongo Movies, Shamsa Ford amenusurika kifo baada ya gari lake kugongana na lingine. Mwanadada Shamsa Ford. Akichonga na paparazi wetu, Shamsa alisema tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Sayansi akiwa na gari aina ya Noah aliligonga gari aina ya Vitz na magari yote yakaharibika vibaya lakini bahati nzuri hawakuumia. “Kweli ni Mungu tu maana ajali ilikuwa mbaya, nashukuru sijaumia ila gari langu ndilo...

 

11 years ago

GPL

GABO APATA AJALI

Stori: Deogratius Mongela
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC wa Karagwe apata ajali

MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...

 

11 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJANGA! Siku chache baada ya hivi karibuni kudaiwa kunywa sumu, staa mkubwa wa sinema Bongo, Wastara Juma amepata tena ajali mbaya. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti namba wani la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita zilieleza kuwa siku ya tukio Wastara alitoka nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar na gari lake aina ya Toyota Vitz kwa ajili ya kwenda kununua umeme....

 

11 years ago

GPL

ALEX MSAMA APATA AJALI

Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini…

 

11 years ago

GPL

LUNGI APATA AJALI MBAYA

MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari na kupata majeraha mbalimbali mwilini. Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Lungi alipata ajali hiyo maeneo ya Tegeta, jijini Dar akiwa kwenye gari lake ambapo aligongwa na lori lililokuwa limebeba mchanga na kusababisha aumie zaidi usoni na mguuni na kushonwa nyuzi tisa. “Namshukuru Mungu nimeponea chupuchupu kwani...

 

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU APATA AJALI

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku. Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo. Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia  iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa...

 

11 years ago

GPL

DUDE APATA AJALI LOLIONDO

Stori: Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amepata ajali ya gari wakati akielekea Loliondo, Arusha kupata dawa ya kikombe inayotolewa na mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwaisapila. Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ Dude ameiambia Bongowood kuwa, hivi karibuni walikuwa na gari aina ya Toyota Prado wakimpeleka mama yake kupata tiba ya ganzi mwilini ndipo tairi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani