DUDE APATA AJALI LOLIONDO
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZGBQsDYnx39418vQ4AAxfVT2ZbgDhbdFmCD-tfsA71cDoU1ylWbsu3efiSzq0ySI*Y7LLuV0YPCc4ditEew6MG/dude.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amepata ajali ya gari wakati akielekea Loliondo, Arusha kupata dawa ya kikombe inayotolewa na mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwaisapila. Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ Dude ameiambia Bongowood kuwa, hivi karibuni walikuwa na gari aina ya Toyota Prado wakimpeleka mama yake kupata tiba ya ganzi mwilini ndipo tairi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0p59gSkh23ytrEvz3KHAWIoXn6oENyMOMwrIpPuSMZmrpvo06LLW*F0vu7hRKR81Ep9HuIshuKCQ-BdTXdkRPFY/gabo.jpg)
GABO APATA AJALI
11 years ago
Tanzania Daima24 May
DC wa Karagwe apata ajali
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...
9 years ago
Vijimambo22 Oct
NAPE APATA AJALI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/NAPE-AJALI-11.jpg?width=650)
Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.
Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBE*WNWRBA2Ja1pWCZ-aJxSP1l93RbBoQDm6NADaEjFiENd80vSAN-QbSpu8Zcx43wxsPqSpVZEzjuq3t69t-iY/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA APATA AJALI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-nbYnF2CtgtY/XrZJiDtxhrI/AAAAAAAAncA/4SAvBDFd_wggHNRbIjoLQXogSVJeva3XwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200509_083331_7.jpg)
DEREVA WA BODABODA APATA AJALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-nbYnF2CtgtY/XrZJiDtxhrI/AAAAAAAAncA/4SAvBDFd_wggHNRbIjoLQXogSVJeva3XwCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200509_083331_7.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-lT-BdFHeCjk/XrZJsv9xEvI/AAAAAAAAncE/4kNOL-irsqQyLIlSnGWPo8fTjxtnjI-fQCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200509_083332_2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1huPN07vqRclcIpeV23ksyTBxYf2MF9VV4XVcBg3bgcSFQaCQJJXvNLfjk7DCKjdFrw3jwL8D33sENaSzyHw-l/BREAKINGNEWS.gif)
ALEX MSAMA APATA AJALI
10 years ago
Habarileo07 Jun
Makongoro Nyerere apata ajali
MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-QtSfZrhXtQQ/XrmTKZIvHNI/AAAAAAAAndQ/kxYXsAarZK8p_GLwMb-L1pIXSEGdVWpSgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ASKARI POLISI APATA AJALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-QtSfZrhXtQQ/XrmTKZIvHNI/AAAAAAAAndQ/kxYXsAarZK8p_GLwMb-L1pIXSEGdVWpSgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-mwLPb5fwKZw/XrmTKrskKmI/AAAAAAAAndU/bvuzFBOMC4MN3usJIdvKbJud-_xyfb47ACLcBGAsYHQ/s400/2%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH0FyRWJSednuOCqWZQ0SOeJjSBsugwLo2b*dqPRpyes1lUTu-jckuhFXxYwqaPSoLSbwCFhy83p685TSwaQPFAh/6wastaa.jpg)
WASTARA APATA AJALI TENA