GABO APATA AJALI
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0p59gSkh23ytrEvz3KHAWIoXn6oENyMOMwrIpPuSMZmrpvo06LLW*F0vu7hRKR81Ep9HuIshuKCQ-BdTXdkRPFY/gabo.jpg)
Stori: Deogratius Mongela MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 May
DC wa Karagwe apata ajali
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...
9 years ago
Vijimambo22 Oct
NAPE APATA AJALI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/NAPE-AJALI-11.jpg?width=650)
Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.
Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBE*WNWRBA2Ja1pWCZ-aJxSP1l93RbBoQDm6NADaEjFiENd80vSAN-QbSpu8Zcx43wxsPqSpVZEzjuq3t69t-iY/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA APATA AJALI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnTZu92vkIVUUurbN39syITZhjnVudK*kh5AM2AIeaULgPvRcU5QRMdg4IJEB4NW7kzolWhMtAoLQXw3MxJNHaGo/1MYAMBACAR.jpg?width=650)
PASTOR MYAMBA APATA AJALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04aslISWLmN-XlCNjfduMKk8PSWh91yUiDG5p4YhucigtM54m4JRDHMh9yKHTq6L-TiXXKUj6h2IPJsmdLaPLeXmU/lungi.jpg?width=650)
LUNGI APATA AJALI MBAYA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Rage apata ajali ya gari
MWENYEKITI wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, jana amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya agari eneo Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akiingia mjini humo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1huPN07vqRclcIpeV23ksyTBxYf2MF9VV4XVcBg3bgcSFQaCQJJXvNLfjk7DCKjdFrw3jwL8D33sENaSzyHw-l/BREAKINGNEWS.gif)
ALEX MSAMA APATA AJALI
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Jules Bianchi apata ajali
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZGBQsDYnx39418vQ4AAxfVT2ZbgDhbdFmCD-tfsA71cDoU1ylWbsu3efiSzq0ySI*Y7LLuV0YPCc4ditEew6MG/dude.jpg?width=650)
DUDE APATA AJALI LOLIONDO