BAHATI BUKUKU APATA AJALI
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku. Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo. Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Bahati Bukuku apata ajali ya gari
MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili nchini, Bahati Bukuku, amepata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Kahama katika tamasha la muziki wa Injili. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Bahati Bukuku apata ajali mkoani Dodoma
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W6T_3NJVUIA/U9OVWJRMcBI/AAAAAAAF6jA/j2SMuWDURBU/s72-c/Bahati-Bukuku.jpg)
MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W6T_3NJVUIA/U9OVWJRMcBI/AAAAAAAF6jA/j2SMuWDURBU/s1600/Bahati-Bukuku.jpg)
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...
11 years ago
CloudsFM28 Jul
JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU AJALI MWIMBAJI NYIMBO ZA INJILI, BAHATI BUKUKU
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACP Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imetokea tarehe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632oulyszhvdqS1BzTyvA9r3R3GpOaudY*gLjytq9N9NFILkAD67TdJYSy1E4rd*rmzHV67r-1kxeNC11RK8wZGhq/8.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-6
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSrX0OEQWlVJdgWhrLxFf4VLW3xBx*aeRucLtVYYf9uhxpNo6XV9VUiv7bXsHSY59NXgCFyZ58LD-uiyoZtKXmSY/BAHATI.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-12
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtF1x4xXMdZlC2FEZJyESCdcRaO74nh*UgpnBp9EpKYdZv4TrqXtBAkAxN-LnHILexps*lwtKynog0iCP7hGD4NN/bahati.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU -8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*C-pdL*s3NoQ-mjQgwPSG7WdeDlP2gNbF40IXmmm8XpOybD4b-lq-f6DBHtT3V7TzyqCwio7yh1xnPuqmxVBXb5/bahati.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-13
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRkrf0DtS6-XMF8GnsXWx*zsKuvncW5EO808bziVKICV0ITx*mBR*A3uCf-U-5kAH*9QpIClMWY3-7-4y2SNGBM8/BUKU.jpg)
BAHATI BUKUKU NUSU KIFO!